LGE2024 Mchungaji Israel Ernest Ngatunga aelezea sababu ya kupigwa tofali, asema CCM walikuwa wanawalaghai watu kuwaandikisha kwenye daftari lisilo rasmi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kama ni kweli anachosema mchungaji, basi hali ni tete. Serikali inabidi Ichukue hatua za kisheria.
Wote wahusika wametenda kosa la jinai kwa kuingia utarstibu wa uhandikishaji wa wapiga kura
 
sasa huoni kwamba mchungaji mwenyewe ndio hasa mwenye tatizo?

kabisaa umeona na kukiri daftari sio rasmi na bado unang"ang"ana nalo mpaka ukapigwa.

Je kama walikua wanakusanya rambirambi kwa ajili ya kufanikisha safari ya mwisho ya mwenzao, wewe ilikua inakuhusu nini na hawakuhitaji msaada wako?

Na je,
ikiwa walikua ni timu ya mpira wa miguu, walikua wanakusanya chochote kitu kutoka kwa wadau kisha wanaorodhesha kwenye daftari lao ili hatimae waende kwenye mechi, wewe ilikua inakuhusu nini?

haya sasa upepigwa upper cut chembe la kidevu, umsaidia nini au umefaidika na nini eti baba mchungaji?πŸ’
 
Sharti la kwanza la kua kwwnye chama cha kijwni ki kutokua na akili timamu
 
Hv unamwandalia mazingira gn mwanao , km ww mzazi wake unatetea mfumo mbovu ? Rambi rambi inakusanywa kweny njia ya kwenda kituo Cha kujiandikishia ?

CCMU WANAHISI WAASI HAWAWEZ TOKEA TZ , ILA SOON WANAELEWA TU
 
sio kwenye njia ya kwenda kituo cha kujiandikishia tu,

Rambirambi inakusanywa mpaka kwenye vituo vya bodaboda na daladala, sokoni na sehemu zote zenye mikusanyiko ya watu, njia panda n.k

siwezi kuandaa watoto wangu wakaingilie mambo ya watu kama huyo mchungaji anaejua kabisaa hahusiki lakini akaleta kimbelembele na wakamzawadia alichostahili.

kuhusu CCM sifahamu chochote,
ila athari za kukurupuka ni pamoja na kilichompata mchungaji πŸ’
 
Acha kutetea upuz

Ova
 
Acha kutetea upuz

Ova
na mtaendelea kupigwa tu mkileta upuuzi kwenye mambo binafsi ya watu, mkidhani kwamba nyinyi ndiyo hodari zaidi, mna haki zaidi ya wengine na mnaweza kuwaelekeza watu cha kufanya mtakavyo ninyi,

nami nasema mpigwe tu πŸ’
 
Mtawapiga hao hao mliyowazoea
Kuwaumiza,mm utanipatia wapi gentleman πŸ˜„ pole sana hiki kina kirefu bana

Ova
 
Kama ni kweli anachosema mchungaji, basi hali ni tete. Serikali inabidi Ichukue hatua za kisheria.
Wote wahusika wametenda kosa la jinai kwa kuingia utarstibu wa uhandikishaji wa wapiga kura
Serikali ipi?????
Wewe upo nchi gani ndugu??
 
na mtaendelea kupigwa tu mkileta upuuzi kwenye mambo binafsi ya watu, mkidhani kwamba nyinyi ndiyo hodari zaidi, mna haki zaidi ya wengine na mnaweza kuwaelekeza watu cha kufanya mtakavyo ninyi,

nami nasema mpigwe tu πŸ’
Yaan wewe kama shoga kwakweli
 
..kumpiga mtu na matofali sio sahihi, ni kosa la jinai.

..wakati mwingine tutangulize utu badala ya vyama.

..hao wana-ccm waliomshambulia mwana-cdm iko siku watashambulia mwana-ccm mwenzao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…