Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Akishiriki Ibada ya mazishi ya aliyekuwa katibu wa #CHADEMA wilaya ya Arumeru, Mchungaji Samweli Karao wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), amesema Tanzania tunahitaji kuona siasa za vyama vingi practically, watu wawe na nguvu za kusikiliza hoja za kisiasa za pande zote kwa sababu kila mmoja ana haki na nchi.
Ameongeza kuwa CHADEMA wanayoyapitia tunayaona na tunawaombea sana. Kanisa siyo bias, tunaomba kwa ajili yenu na kwa ajili ya wale.
Ameongeza kuwa CHADEMA wanayoyapitia tunayaona na tunawaombea sana. Kanisa siyo bias, tunaomba kwa ajili yenu na kwa ajili ya wale.