Mchungaji Jackson Karao: CHADEMA mnayoyapitia tunayaona. Tanzania tunahitaji siasa za vyama vingi kwa vitendo

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Akishiriki Ibada ya mazishi ya aliyekuwa katibu wa #CHADEMA wilaya ya Arumeru, Mchungaji Samweli Karao wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), amesema Tanzania tunahitaji kuona siasa za vyama vingi practically, watu wawe na nguvu za kusikiliza hoja za kisiasa za pande zote kwa sababu kila mmoja ana haki na nchi.

Ameongeza kuwa CHADEMA wanayoyapitia tunayaona na tunawaombea sana. Kanisa siyo bias, tunaomba kwa ajili yenu na kwa ajili ya wale.

Your browser is not able to display this video.
 
Nami huwa namwombea kiongozi wetu Mh. Tundu AM Lisu ipi afanikiwe kutufikisha kwenye uhuru wa pili. Mungu tusaidie
 
Ccm wamefilisika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…