Mchungaji kaombea wanawake walio wahi kujiamiana na wanaume Zaidi ya 100,

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
13,682
Reaction score
41,162
Kama hali iko hivi wanawake ni hateri, kanisa karibia nusu ya wanawake wamesha tumukishwa na wanaume zaidi ya 100, na wa onea huruma wanao tafuta wanawake wa kuoa makanisani.

Loh angalia hi vidio
Your browser is not able to display this video.
 
Ndo hawahawa wanalalamika hawaridhishi ety Wanaume tuna vibamia [emoji23] kumbe tobo limekuwa pango [emoji91]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila 100 mkuu sio mchezo duh.
 
Kuna mtoto wa sista ake anaitwa daniel Yule aliempa roho na nafsi ya Michael Jackson akaanza ku shake madhabahuni😂😂😂😂

Nilibahatika kukutana nae ila ukweli ni kwamba wanahitaji msaada mkubwa sana kuliko watu wanavyofikiri😥😥😥
Juzi huko x niliona kuna mpaka Mungu zumaridi ,mtoto wake kawatambulisha makanjibai kutokea huko bombey😅
 
Looh!,. Hao mia inakuwakuwaje
Anajigawaje kwa wiki,. Kwa mwezi?? Au kwa siku??🤯🤯🤯
 
Walokole wangepaswa kuijaza mirembe ni vile basi tu.
 
Kiki hiyo...labda changudoa ndio anaweza kufikisha idadi hiyo
 
Looh!,. Hao mia inakuwakuwaje
Anajigawaje kwa wiki,. Kwa mwezi?? Au kwa siku??🤯🤯🤯
Hao mbona wachache sana. Mwanamke akipigwa mtungo ya mtu 5 kwa siku, ndani ya siku 20 kafuta wangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…