Mchungaji Kimaro KKKT Kijitonyama: Polisi hawajatoka ardhini kuzimu. Ni ndugu zetu

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu,

Akizungumza Akizungumza jana Julai 12, 2025 kwenye kongamano kubwa la vijana lililofanyika Viwanja vya Kanisa Kuu la KKKT Usa River Arusha, Mchungaji Kimaro amesema kuwa Jeshi La Polisi sio mazimwi yaliyotoka ardhini na kwamba ni watu wazuri ambazo ni ndugu zetu

Jeshi la Polisi sio mazimwi, sio watu waliopasuka kutoka kwenye mwamba, sio watu waliotokea ardhini kuzimu. Hawa ni ndugu zetu, ni mama zetu, ni baba zetu ni majirani zetu.Wanasali katika makanisa yetu, wanasali katika misikiti yetu. Tumewabatiza sisi wachungaji. Ni watu tunawafahamu

Kazi ya laana
 
Askofu "...wanaoteka sio polisi..."

Mchungaji "Hawa ni ndugu zetu, ni mama zetu, ni baba zetu ni majirani zetu.Wanasali katika makanisa yetu, wanasali katika misikiti yetu."

Kongole kwenu maaskofu na wachungaji. 🙏🏾🧎🏾‍♂️
 
Kuna rafiki yangu, mwanawe aliomba nafasi ya kuwa polisi, nikamshauri amwambie aachane kabisa na hiyo laana. Yeye anaweza kuwa ni kijana mwema lakini akienda huko anaweza kulazimishwa kufanya ushetani wa ajabu utakao kuwa laana maisha yake yote. Nashukuru alinielewa, akaamua kuacha.

Kiuhalisia kazi ya polisi haikustahili kuwa kazi la laana, bali watawala ibilisi ndio walioifanya kuwa hivyo.
 
Back
Top Bottom