Mchungaji Kimaro: Matajiri ndio Walimzika Yesu, akina Petro na wenzake waliokula bure miaka 3 walimkimbia!

Kama kumuelewa ni kugumu hivyo, basi hafai. Mchungaji mzuri ni yule anayeeleweka vizuri na kila mtu, na hasababishi taharuki kwa mahubiri yake.
Biblia sio kitabu cha hadithi. Hata Yesu alifundisha kwa mifano; ni watu wachache walimuelewa. Usipoelewa leo utaelewa kesho, buta subira. Lakini usimhukumu kabla ya kumuelewa.
 
Yesu sindie mungu mungu wenu au?
 
Ili tajiri awepo ni lazima' masikini awepo .......Sasa sijui mbezi beach au masaki bila
kwa mtohole tutajuana'a vipi tuheshimiane kwa kila level ..huku duniani tunapita tu. Xxxxx
Kasema kweli tatizo wabongo kwao ukweli mwiko kila mtu utaka aitwe tajiri hata ambae hana hata kuku
 
Huku kitaa watu maskini ndo wako mstari wa mbele kuchimba kaburi na kuzika.
 
Ukweli wa Kimaro umekuingia sasa unakata tamaa ulitaka aseme uongo hen
 
Ningetamani makanisa yasitegemee fedha kuhubiri habari njema ni hatari na ni mtego shetani anautumia Sasa. Tutosheke na sadaka Mungu atakayotusaidia kupata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…