johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #41
Hahaha....... huyo ni bavicha mwenzioAcha uchawa wewe kimaro alimchana Jiwe Ikulu wakati alipowaalika viongozi wa Dini akamwambie awape wengine nafasi ya kufanya siasa Nchi ipumue ,
Wee chawa Wa Lumumba acha ku tumia Akili yako kinyume Cha maumbile mpyuuuuu
Bwashee punguza munkari basi!Harafu hii mentality ya kipumbavu imetoka wapi kwamba kuwa kiongozi au mpinzani mzuri lazima uwe unakosoa na kupinga kila kitu?
Hii comment ni Yangu? Kama ni Yangu basi kabla hujajibu unapaswa kujua aina ya mtu unayemjibu. ShukraniAcha uchawa wewe kimaro alimchana Jiwe Ikulu wakati alipowaalika viongozi wa Dini akamwambie awape wengine nafasi ya kufanya siasa Nchi ipumue ,
Wee chawa Wa Lumumba acha ku tumia Akili yako kinyume Cha maumbile mpyuuuuu
Tulia kwanza tuko Uwanjani, tunawafundisha YangaBazecha
AmenMchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amesema taifa letu Chawa wamejaa kila kona na kuwapofusha macho viongozi wetu.
Dr Kimaro amesema Chawa wako kila mahali kuanzia kwenye vyama vya siasa hadi makanisani
Mchungaji Kimaro anasema Kiongozi makini huwapenda wakosoaji kwa sababu wanapomueleza Ukweli wanamfanya ajirekebishe na kujijenga zaidi
Lakin Wabunge na Mawaziri wengi huwapenda Chawa kwa sababu wanapenda kudanganywa
Mungu wa mbinguni awabariki nyote
Hahaha........!Tulia kwanza tuko Uwanjani, tunawafundisha Yanga
Kklichosema kinawaweka peupe wajinga wote kama nyinyiKimaro aache unafiki, ametoka kwenye misingi ya neno la Mungu sasa anaangalia popularity. Enzi za Mwendazake alikua akisifia kila kitu
Mkuu, kwani wewe ni kunguni?Kwani yeye amekatazwa kuwa Chawa?
Harafu hii mentality ya kipumbavu imetoka wapi kwamba kuwa kiongozi au mpinzani mzuri lazima uwe unakosoa na kupinga kila kitu?
Mwisho anaefanya vizuri ndio husifiwa,na ni upumbavu kudhani kila anaemsifia kiongozi ni Chawa.
Chawa mwandamizi umeguswaKwani yeye amekatazwa kuwa Chawa?
Harafu hii mentality ya kipumbavu imetoka wapi kwamba kuwa kiongozi au mpinzani mzuri lazima uwe unakosoa na kupinga kila kitu?
Mwisho anaefanya vizuri ndio husifiwa,na ni upumbavu kudhani kila anaemsifia kiongozi ni Chawa.
Nilijua TU hahahahaha na niliyoyasema ndio Leo yametimiaKklichosema kinawaweka peupe wajinga wote kama nyinyi
Hata Chadema wanapenda chawa, hasa chawa wa mwenyekiti wao maisha ni wengi mno kama utitiri wa kwenye banda la kuku, nakaribisha kejeli na mipovu kama looteMchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amesema taifa letu Chawa wamejaa kila kona na kuwapofusha macho viongozi wetu.
Dr Kimaro amesema Chawa wako kila mahali kuanzia kwenye vyama vya siasa hadi makanisani.
Mchungaji Kimaro anasema Kiongozi makini huwapenda wakosoaji kwa sababu wanapomueleza Ukweli wanamfanya ajirekebishe na kujijenga zaidi.
Lakin Wabunge na Mawaziri wengi huwapenda Chawa kwa sababu wanapenda kudanganywa.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Huyu ni WA kumshughulikia maana alianza siasa badala ya kuhubiri dini yake.Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amesema taifa letu Chawa wamejaa kila kona na kuwapofusha macho viongozi wetu.
Dr Kimaro amesema Chawa wako kila mahali kuanzia kwenye vyama vya siasa hadi makanisani.
Mchungaji Kimaro anasema Kiongozi makini huwapenda wakosoaji kwa sababu wanapomueleza Ukweli wanamfanya ajirekebishe na kujijenga zaidi.
Lakin Wabunge na Mawaziri wengi huwapenda Chawa kwa sababu wanapenda kudanganywa.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Amesema wapi hayo? Video iko wapi? Nashangaa watu wanachangia bila evidenceMchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amesema taifa letu Chawa wamejaa kila kona na kuwapofusha macho viongozi wetu.
Dr Kimaro amesema Chawa wako kila mahali kuanzia kwenye vyama vya siasa hadi makanisani.
Mchungaji Kimaro anasema Kiongozi makini huwapenda wakosoaji kwa sababu wanapomueleza Ukweli wanamfanya ajirekebishe na kujijenga zaidi.
Lakin Wabunge na Mawaziri wengi huwapenda Chawa kwa sababu wanapenda kudanganywa.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Only big minds talk like this!Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amesema taifa letu Chawa wamejaa kila kona na kuwapofusha macho viongozi wetu.
Dr Kimaro amesema Chawa wako kila mahali kuanzia kwenye vyama vya siasa hadi makanisani.
Mchungaji Kimaro anasema Kiongozi makini huwapenda wakosoaji kwa sababu wanapomueleza Ukweli wanamfanya ajirekebishe na kujijenga zaidi.
Lakin Wabunge na Mawaziri wengi huwapenda Chawa kwa sababu wanapenda kudanganywa.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Acha ujinga wewe!Kimaro aache unafiki, ametoka kwenye misingi ya neno la Mungu sasa anaangalia popularity. Enzi za Mwendazake alikua akisifia kila kitu
Duh kumbe hizi ndio sababu...Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amesema taifa letu Chawa wamejaa kila kona na kuwapofusha macho viongozi wetu.
Dr Kimaro amesema Chawa wako kila mahali kuanzia kwenye vyama vya siasa hadi makanisani.
Mchungaji Kimaro anasema Kiongozi makini huwapenda wakosoaji kwa sababu wanapomueleza Ukweli wanamfanya ajirekebishe na kujijenga zaidi.
Lakin Wabunge na Mawaziri wengi huwapenda Chawa kwa sababu wanapenda kudanganywa.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Safari hatua!Duh kumbe hizi ndio sababu...
P