Mchungaji Kimaro: Viongozi makini hawahitaji Chawa wa kuwasifiasifia bali wanawapenda wakosoaji wanaowaambia ukweli ili wajiimarishe

Acha uchawa wewe kimaro alimchana Jiwe Ikulu wakati alipowaalika viongozi wa Dini akamwambie awape wengine nafasi ya kufanya siasa Nchi ipumue ,
Wee chawa Wa Lumumba acha ku tumia Akili yako kinyume Cha maumbile mpyuuuuu
Hahaha....... huyo ni bavicha mwenzio
 
Harafu hii mentality ya kipumbavu imetoka wapi kwamba kuwa kiongozi au mpinzani mzuri lazima uwe unakosoa na kupinga kila kitu?
Bwashee punguza munkari basi!
Hiyo mentality iliasisiwa na Mr #dishlimetilt akiwa mbunge. Baada ya jembe JPM (rip) kushika usukani na kuanza kushughulikia kero za wananchi, ambazo chadema ilikuwa inazipigia kelele, wakaona Magu anawamalizia pointi za kuongea kwa wananchi kwa hiyo yule kichaa ndo akaibuka na sera ya kupinga kila kitu. Ukiwauliza wanasema wao ni chama cha upingaji hawawezi kuunga mkono chochote kinachofanywa na serikali.
 
Acha uchawa wewe kimaro alimchana Jiwe Ikulu wakati alipowaalika viongozi wa Dini akamwambie awape wengine nafasi ya kufanya siasa Nchi ipumue ,
Wee chawa Wa Lumumba acha ku tumia Akili yako kinyume Cha maumbile mpyuuuuu
Hii comment ni Yangu? Kama ni Yangu basi kabla hujajibu unapaswa kujua aina ya mtu unayemjibu. Shukrani
 
Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amesema taifa letu Chawa wamejaa kila kona na kuwapofusha macho viongozi wetu.

Dr Kimaro amesema Chawa wako kila mahali kuanzia kwenye vyama vya siasa hadi makanisani

Mchungaji Kimaro anasema Kiongozi makini huwapenda wakosoaji kwa sababu wanapomueleza Ukweli wanamfanya ajirekebishe na kujijenga zaidi

Lakin Wabunge na Mawaziri wengi huwapenda Chawa kwa sababu wanapenda kudanganywa

Mungu wa mbinguni awabariki nyote
Amen
 
Kuna mwananke mmoja mkubwa anapenda sana chawa mpaka anawasifia hadharani. Madaraka ya kuokota nayo bwana!
 
Kwani yeye amekatazwa kuwa Chawa?

Harafu hii mentality ya kipumbavu imetoka wapi kwamba kuwa kiongozi au mpinzani mzuri lazima uwe unakosoa na kupinga kila kitu?

Mwisho anaefanya vizuri ndio husifiwa,na ni upumbavu kudhani kila anaemsifia kiongozi ni Chawa.
Mkuu, kwani wewe ni kunguni?
 
Kwani yeye amekatazwa kuwa Chawa?

Harafu hii mentality ya kipumbavu imetoka wapi kwamba kuwa kiongozi au mpinzani mzuri lazima uwe unakosoa na kupinga kila kitu?

Mwisho anaefanya vizuri ndio husifiwa,na ni upumbavu kudhani kila anaemsifia kiongozi ni Chawa.
Chawa mwandamizi umeguswa
 
Kiongoz wa kiroho hana mpaka. Anakemea kila lililo baya lililo mbele yake.
Ni kama vile anapoombea nchi na viongoz wa serikal so pale wanapokosea anawajibu wa kusema
 
Hata Cha
Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amesema taifa letu Chawa wamejaa kila kona na kuwapofusha macho viongozi wetu.

Dr Kimaro amesema Chawa wako kila mahali kuanzia kwenye vyama vya siasa hadi makanisani.

Mchungaji Kimaro anasema Kiongozi makini huwapenda wakosoaji kwa sababu wanapomueleza Ukweli wanamfanya ajirekebishe na kujijenga zaidi.

Lakin Wabunge na Mawaziri wengi huwapenda Chawa kwa sababu wanapenda kudanganywa.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Hata Chadema wanapenda chawa, hasa chawa wa mwenyekiti wao maisha ni wengi mno kama utitiri wa kwenye banda la kuku, nakaribisha kejeli na mipovu kama loote
 
Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amesema taifa letu Chawa wamejaa kila kona na kuwapofusha macho viongozi wetu.

Dr Kimaro amesema Chawa wako kila mahali kuanzia kwenye vyama vya siasa hadi makanisani.

Mchungaji Kimaro anasema Kiongozi makini huwapenda wakosoaji kwa sababu wanapomueleza Ukweli wanamfanya ajirekebishe na kujijenga zaidi.

Lakin Wabunge na Mawaziri wengi huwapenda Chawa kwa sababu wanapenda kudanganywa.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Huyu ni WA kumshughulikia maana alianza siasa badala ya kuhubiri dini yake.
 
Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amesema taifa letu Chawa wamejaa kila kona na kuwapofusha macho viongozi wetu.

Dr Kimaro amesema Chawa wako kila mahali kuanzia kwenye vyama vya siasa hadi makanisani.

Mchungaji Kimaro anasema Kiongozi makini huwapenda wakosoaji kwa sababu wanapomueleza Ukweli wanamfanya ajirekebishe na kujijenga zaidi.

Lakin Wabunge na Mawaziri wengi huwapenda Chawa kwa sababu wanapenda kudanganywa.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Amesema wapi hayo? Video iko wapi? Nashangaa watu wanachangia bila evidence
 
Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amesema taifa letu Chawa wamejaa kila kona na kuwapofusha macho viongozi wetu.

Dr Kimaro amesema Chawa wako kila mahali kuanzia kwenye vyama vya siasa hadi makanisani.

Mchungaji Kimaro anasema Kiongozi makini huwapenda wakosoaji kwa sababu wanapomueleza Ukweli wanamfanya ajirekebishe na kujijenga zaidi.

Lakin Wabunge na Mawaziri wengi huwapenda Chawa kwa sababu wanapenda kudanganywa.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Only big minds talk like this!
Small minds and mediocres will despise him!
 
Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amesema taifa letu Chawa wamejaa kila kona na kuwapofusha macho viongozi wetu.

Dr Kimaro amesema Chawa wako kila mahali kuanzia kwenye vyama vya siasa hadi makanisani.

Mchungaji Kimaro anasema Kiongozi makini huwapenda wakosoaji kwa sababu wanapomueleza Ukweli wanamfanya ajirekebishe na kujijenga zaidi.

Lakin Wabunge na Mawaziri wengi huwapenda Chawa kwa sababu wanapenda kudanganywa.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Duh kumbe hizi ndio sababu...
P
 
Back
Top Bottom