Mchungaji Kimaro yuko sahihi, hata kwa Mhindi ukisema unaitwa Juma au Shabani unapewa kazi godown, ukiitwa John utaosha magari

Tuukubali ukweli

Ukweli unaupimaje?. Kwa kusema vijana wa Wakikristo sio waaminifu, kisa vijana wako wamekupiga. Huyo Kimaro ana ujinga Sana. Ilitakiwa wamfukuze moja kwa moja sio kumpa likizo, aende akawe shehe.
 
Tabia za kigalatia ni za kizungu na wote tunajua namna tabia za kizungu wanapoona chumo.

Ukristo hauusiani na uzungu acha kupotosha. Bora ungesema mashariki ya Kati ndipo ulipoanzia.
 
Ukweli unaupimaje?. Kwa kusema vijana wa Wakikristo sio waaminifu, kisa vijana wako wamekupiga. Huyo Kimaro ana ujinga Sana. Ilitakiwa wamfukuze moja kwa moja sio kumpa likizo, aende akawe shehe.
Shehe amekukosea nini?
 
Ukweli unaupimaje?. Kwa kusema vijana wa Wakikristo sio waaminifu, kisa vijana wako wamekupiga. Huyo Kimaro ana ujinga Sana. Ilitakiwa wamfukuze moja kwa moja sio kumpa likizo, aende akawe shehe.
wana kwenda kumrestore kwenye default settings arudi kundini maana ataendeleza kuexpose vile ambavyo yeye anaamini watu walifichwa kuvifahamu.

Mara boooom! kadedi cjui itakuwaje?
 
Kimaro, kitu cha kwanza hajaokoka, hata mafundisho yake mimi huwa nashangaa watu wanayapapatikia ya nini, hayana mantiki yeyote na hayaokoi roho za watu. siku hizi kumeibuka mtindo wachungaji wengi ambao hawajaokoka wanafuata mtindo wa kuhubiri anaotumia mchungaji mgogo. anasimama pale hahubiri Neno la Mungu, anaongea tu maneno yake ya kibinadamu yenye hekima ya kibinadamu tu ila sio kutafisiri Neno la Mungu kwa watu. watu wanawapenda kwasababu wanatumia style ya kuchekesha kama wachekeshaji, ila hawahubiri Neno la Mungu. na wateja wao wakubwa ni wanawake, kama ilivyo ada, hao ndio wahanga wakubwa wa kila mihemko.

mchungaji mgogo ameharibu sana tasnia ya kuhubiri, ndio maana utakuta mch kimaro alikuwa anamuiga, mchungaji Hananga alikuwa anamuiga, kale ka kijana kembamba kenye kanisa nako kanaitwa Tony kanamuiga, ni kwamba wanaongea mambo yale yanayowafurahishwa watu, yale watu wanayapenda na kufurahi na kuchekacheka.

kwa Kimaro, kama yeye ana hekima, kwanza asingetangaza yale aliyokwazana na maboss wake (wanaompa mshahara) kwa waumini, na hakutakiwa kuongea kwa namna ya kuonewa huruma, ili wamuonee huruma aonekane anaonewa.

pili,angekuwa na hekima, angeshawatuliza, angeshatoa tamko ili hata wale wanaojifanya kuandamana au kumtetea wasingefanya vile kama angekuwa ametoa neno la hekima kwamba wasifanye hivyo.

kilichopo ni kwamba, kimaro na wengine, wanategemea kuinuka kwa kutumia wanadamu, hawajui kama kama wangekuwa watu wa Mungu, Mungu ndio huwa anainua mwanadamu na Mungu akikupa kibali hata mtu akupinge hawezi kukushinda, na ukipingwa unachotakiwa wewe ni kutumia hekima ili usiwapoteze hata wale wenye mioyo laini wakamkosea Mungu kwasababu yako, wabaki vilevile na Mungu atakusaidia atakavyo. kitendo cha yeye kunyamaza anaonyesha jeuri na matumaini ya kutetewa na wanadamu na anapenda aendelee kutetewa hadi arudishwe pale.

afterall, hata mahubiri yake sio ya kimungu, wakubwa zake na kanisa lote la lutheran tunalijua tumetoka huko hakuna Mungu kabisa na hakuna wokovu kwasababu misingi yake haijajikita kwenye uongozi wa Roho Mtakatifu bali uongozi wa dini na hekima ya kibinadamu.
 
Ukristo hauusiani na uzungu acha kupotosha. Bora ungesema mashariki ya Kati ndipo ulipoanzia.
Currently unatafsirika hivyo, ulishatekwa upo roma now.Au macho hatunayo.Huwezi kuutenganisha ukristo na uzungu kwa dunia ya leo.
 
Kama unabisha nenda Keko magodown au Kisutu majamatini uangalie Kazi wanazopewa Vijana wa kigalatia

Mchungaji Kimaro yuko sahihi kwa 60% kwamba Vijana wa kiislamu ni waaminifu

Hata ulinganishe tu UVCCM, Ngome ya Vijana ACT wazalendo na Bavicha majibu unayapata

Mimi ni mgalatia lakini Ukweli aliposema Mchungaji Kimaro utabaki kuwa ukweli
kwa wahindi na waarabu ni ubaguzi wa kidini tu

kwa CCM hata ukiangalia wajumbe wa kamati kuu, ni kama balaza la hija. ccm ilishakuwa na influence kubwa ya udini (uislamu) watu wanaogopa kusema tu, na ukisema wajinga hawatakaa kimya wanaibuka kukubishia.

kwa ACT-Wazalendo, wala hauhitaji kuumiza kichwa. Kiongozi wao mwenyewe bwana Zitto Kabwe ni janjaweed, mjahidina siasa kali

Angalau chadema kumebalance kidogo
 
Ufipa Waislamu wanatokea Zanzibar
 
Kama unabisha nenda Keko magodown au Kisutu majamatini uangalie Kazi wanazopewa Vijana wa kigalatia

Mchungaji Kimaro yuko sahihi kwa 60% kwamba Vijana wa kiislamu ni waaminifu

Hata ulinganishe tu UVCCM, Ngome ya Vijana ACT wazalendo na Bavicha majibu unayapata

Mimi ni mgalatia lakini Ukweli aliposema Mchungaji Kimaro utabaki kuwa ukweli
HATA WAPUMBAVU HUZEEKA. NIMEAMINI.
 
Ufipa Waislamu wanatokea Zanzibar
si wote mkuu. ila ccm kumezidi . mwenyekiti ni dini gani, makamu wake, katibu mwenezi, manaibu makatibu wakuu? si ajabu katibu mkuu tu ndiye mkristo....ukienda kwenye kamati kuu unakuta kati ya members 36 wakristo hawafiki hata 30%.
watu wanaogopa kuinyooshea vidole tu kwa sababu ni chama dola na mara nyingi wakristo huwa hawajali, wako bize na maisha yao binafsi.
 
Kama unabisha nenda Keko magodown au Kisutu majamatini uangalie Kazi wanazopewa Vijana wa kigalatia

Mchungaji Kimaro yuko sahihi kwa 60% kwamba Vijana wa kiislamu ni waaminifu

Hata ulinganishe tu UVCCM, Ngome ya Vijana ACT wazalendo na Bavicha majibu unayapata

Mimi ni mgalatia lakini Ukweli aliposema Mchungaji Kimaro utabaki kuwa ukweli
Tatizo la Mchungaji Kimaro linaweza kuwa si kile alichokisema bali namna alivyokisema. Swala la watu kuwa wezi linajulikana na kila mmoja na si vijana tu ambao ni wezi, naweza kuwa hata mimi hapa nilipo ni mwizi pia.

Mchungaji hajawasilisha ujumbe wake vizuri kwa sababu alikuwa analalamika wakati yeye ndiye anayetakiwa kulalamimikiwa. Mimi muumini wako ukianza kunilalamikia kuwa natenda dhambi, nifanyeje sasa wakati wewe ndiyo unatakiwa uniongoze ili nisitende dhambi? Mimi muumni ndiyo ninayo haki ya kwenda kulalamika kwa mchungaji wangu; kwamba sifanyi vizuri na hivyo inabidi anisaidie, na si yeye kunilalamikia mimi. Of course anaweza akanilalalamikia kama kuniweka kwenye tahadhari kwanza, lakini baada ya hapo inabdi awe tayari ameshaandaa njia ya namna ya kunikwamua, na si kunilalamikia halafu ananiacha hewani kwenye mataa

Hili Kanisa lina baadhi ya wachungaji ambao ni very intelligent, nashauri wawe wanawatumia kwenye baadhi ya maswala haya yanapowalemea. Mmojawapo ni kama yule wa pale Mbezi Beach
 
Tatizo la Mchungaji Kimaro linaweza kuwa si kile alichokisema bali namna alivyokisema. Swala la watu kuwa wezi linajulikana na kila mmoja na si vijana tu ambao ni wezi, naweza kuwa hata mimi hapa nilipo ni mwizi pia.

Mchungaji hajawasilisha ujumbe wake vizuri kwa sababu alikuwa analalamika wakati yeye ndiye anayetakiwa kulalamimikiwa. Mimi muumini wako ukianza kunilalamikia kuwa natenda dhambi, nifanyeje sasa wakati wewe ndiyo unatakiwa uniongoze ili nisitende dhambi? Mimi muumni ndiyo ninayo haki ya kwenda kulalamika kwa mchungaji wangu; kwamba sifanyi vizuri na hivyo inabidi anisaidie, na si yeye kunilalamikia mimi. Of course anaweza akanilalalamikia kama kuniweka kwenye tahadhari kwanza, lakini baada ya hapo inabdi awe tayari ameshaandaa njia ya namna ya kunikwamua, na si kunilalamikia halafu ananiacha hewani kwenye mataa

Hili Kanisa lina baadhi ya wachungaji ambao ni very intelligent, nashauri wawe wanawtumia kwenye baadhi ya maswala haya yanapowalemea. Mmojawapo ni kama yule wa pale Mbezi Beach
mimi sisali lutheran, lakini nalijua sana kwasababu zamani nilikuwa huko na majority ya ndugu zangu wapo huko. Lutheran wapo vizuri sana kwenye mikakati na taasisi. nafikiri wakitoka catholic wao ndio wanafuata, hata kwenye kujenga mashule na taasisi zingine kama hospitals. wana taratibu zao. kwenye kundi moja hawezi kukosekana mwizi, lakini wewe kama mojawapo wa wanataasisi tena unayelipwa mshaara toka kwenye taasisi, unaelewa kwamba ukiona kosa limo kwenye taasisi fuata taratibu usiende kuuza mechi kwa watu wa nje utakuwa unauza nyumba kwa maadui. hata ukiona askofu au katibu au yeyote mbadhilifu, penyeza hata kwenye njia za ndani na sio kwenda kusema kwa waumini ambao hawana uwezo kufanya chochote zaidi sana wataona kumbe wapo kwenye kanisa ambalo ni la wezi hivyo walondoke waende kwenye kanisa lingine.

pili, watu wengi wanatafsiri kwamba kimaro ameondolewa kwasababu ya ile clip aliyowasema vijana wa kikristo, akasifia ukatoliki na uislam. inasemekana kuna zaidi ya hayo. pia yeye alijifanya pale kijitonyama ndio yeye maarufu hakuna mwingine anayekubalika wakati aliletwa tu pale akitokea kariakoo. wachungaji wote waliokuwepo kabla yake wangekuwa kama yeye wakagomea pale yeye angepata nafasi ya kuhudumu pale kijitonyama?
 
Kama unabisha nenda Keko magodown au Kisutu majamatini uangalie Kazi wanazopewa Vijana wa kigalatia

Mchungaji Kimaro yuko sahihi kwa 60% kwamba Vijana wa kiislamu ni waaminifu

Hata ulinganishe tu UVCCM, Ngome ya Vijana ACT wazalendo na Bavicha majibu unayapata

Mimi ni mgalatia lakini Ukweli aliposema Mchungaji Kimaro utabaki kuwa ukweli
Aroo kwa nini umeandika uzi wa kipuuzi hivi?Nakuuriza tena.Kwa nini umeandika maboso weye mzee?
 
Waislamu wanakemea sana dhuluma kwenye mafundisho yao. Sema wanaonekana wakorofi kwasababu pia wanafundishwa kutetea haki zao tofauti na wakristo wanaoambiwa ukipigwa kofi shavu la kushoto geuza na la kulia.
 
Kimaro, kitu cha kwanza hajaokoka, hata mafundisho yake mimi huwa nashangaa watu wanayapapatikia ya nini, hayana mantiki yeyote na hayaokoi roho za watu. siku hizi kumeibuka mtindo wachungaji wengi ambao hawajaokoka wanafuata mtindo wa kuhubiri anaotumia mchungaji mgogo. anasimama pale hahubiri Neno la Mungu, anaongea tu maneno yake ya kibinadamu yenye hekima ya kibinadamu tu ila sio kutafisiri Neno la Mungu kwa watu. watu wanawapenda kwasababu wanatumia style ya kuchekesha kama wachekeshaji, ila hawahubiri Neno la Mungu. na wateja wao wakubwa ni wanawake, kama ilivyo ada, hao ndio wahanga wakubwa wa kila mihemko.

mchungaji mgogo ameharibu sana tasnia ya kuhubiri, ndio maana utakuta mch kimaro alikuwa anamuiga, mchungaji Hananga alikuwa anamuiga, kale ka kijana kembamba kenye kanisa nako kanaitwa Tony kanamuiga, ni kwamba wanaongea mambo yale yanayowafurahishwa watu, yale watu wanayapenda na kufurahi na kuchekacheka.

kwa Kimaro, kama yeye ana hekima, kwanza asingetangaza yale aliyokwazana na maboss wake (wanaompa mshahara) kwa waumini, na hakutakiwa kuongea kwa namna ya kuonewa huruma, ili wamuonee huruma aonekane anaonewa.

pili,angekuwa na hekima, angeshawatuliza, angeshatoa tamko ili hata wale wanaojifanya kuandamana au kumtetea wasingefanya vile kama angekuwa ametoa neno la hekima kwamba wasifanye hivyo.

kilichopo ni kwamba, kimaro na wengine, wanategemea kuinuka kwa kutumia wanadamu, hawajui kama kama wangekuwa watu wa Mungu, Mungu ndio huwa anainua mwanadamu na Mungu akikupa kibali hata mtu akupinge hawezi kukushinda, na ukipingwa unachotakiwa wewe ni kutumia hekima ili usiwapoteze hata wale wenye mioyo laini wakamkosea Mungu kwasababu yako, wabaki vilevile na Mungu atakusaidia atakavyo. kitendo cha yeye kunyamaza anaonyesha jeuri na matumaini ya kutetewa na wanadamu na anapenda aendelee kutetewa hadi arudishwe pale.

afterall, hata mahubiri yake sio ya kimungu, wakubwa zake na kanisa lote la lutheran tunalijua tumetoka huko hakuna Mungu kabisa na hakuna wokovu kwasababu misingi yake haijajikita kwenye uongozi wa Roho Mtakatifu bali uongozi wa dini na hekima ya kibinadamu.
Huyo Askofu au wasaidizi wake wameokoka? Dini inapotea kwa kupenda fedha, michango kila siku lakini hatuoni msaada kwa Waumini wanapopata shida. Biblia inasema Mwanmke asipande madhabahuni, na hata akiingia kwenye nyumba ya kuabudia, afunike kichwa chake, Wanawake wanapanda Madhabahuni, vichwa wazi, nywele zimepitia saluni na kunakshiwa ili Waumini waone urembo wao. Hivi wakati wa Yesu Kristo kulikuwa na sadaka ya kupanda mbegu, masinagogi yalikuwa na miradi? Tuna shule za Lutheran, wanafunzi wanalipa ada, lakini kila wakati michango kusaidia hizo shule na performance haiinuki wala hazimo kati ya shule bora. Nime shituka eti usipotoa sadaka kwenye bahasha, ukifiwa au ukifa Mchungaji haji, kali zaidi ni kuambiwa hata usipo hudhuria Ibada ya nyumba kwa nyumba, we tuma sadaka tu inatosha. Mengine mengi tutajuzana, ikiwamo ukomo wa uongozi wa juu, misaada toka nje, ada za minara ya simu, mapato na matumizi ya vitega uchumi, upendeleo kwenye kwa waumini, double standard kwa misiba ya waumin nki.
 
Kama unabisha nenda Keko magodown au Kisutu majamatini uangalie Kazi wanazopewa Vijana wa kigalatia

Mchungaji Kimaro yuko sahihi kwa 60% kwamba Vijana wa kiislamu ni waaminifu

Hata ulinganishe tu UVCCM, Ngome ya Vijana ACT wazalendo na Bavicha majibu unayapata

Mimi ni mgalatia lakini Ukweli aliposema Mchungaji Kimaro utabaki kuwa ukweli
Uzoba unafananishwa na Uaminifu? Hayo majina ya Juma ni mazoba yanadhani Wahindi na Waarabu ni daraja la juu yao
 
Back
Top Bottom