Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Wapo wengi, vile hupendi kusikia mtu akisema kitu usichokipenda.Nimefurahi kuona kauli hiyo imetolewa na mchungaji wa KKKT.
Atleast kumbe na huko KKKT wapo wachungaji wanaojielewa, nilijua wote wamewekwa mfukoni na Malasusa.
Mbona Askofu bagonza anaongea kila siku na ni KKKT.Nimefurahi kuona kauli hiyo imetolewa na mchungaji wa KKKT.
Atleast kumbe na huko KKKT wapo wachungaji wanaojielewa, nilijua wote wamewekwa mfukoni na Malasusa.
Kuitanguliza amani kabla ya haki ni kinyume na maandiko, waxhungaji wengi KKKT ndio tabia yao hiyo.Wapo wengi, vile hupendi kusikia mtu akisema kitu usichokipenda.
Hata Malasusa unaemsema, nimejaribu kumsikiliza kwa makini sana mara kadhaa nilizo pata nafasi, na sijasikia chochote kibaya alichosema mpaka sasa.
Umeshakiri wananunuliwa, ndio maana nikashangaa kumbe bado wapo wengine wanaojielewa huko!.Mbona Askofu bagonza anaongea kila siku na ni KKKT.
Shoo kabla hajanunuliwa alikuwa anaongea kila siku.
Kimaro alikuwa anaongea nk.
Tatizo nyie vijana hamuwajui wana mtandao vizuri.
CCM mtandao ni Zaidi ya Rais.
Huyu ni kiongozi wa dini kweli. Sio kama wale mashehe ubwabwa wa fazafaka wa Kizimkazi.View attachment 3622893
Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Steven Kimondo, amefichua kuwa kuendelea kwa matukio ya utekaji wa raia nchini ni mkakati wa makusudi unaoratibiwa ili kuwatia hofu wananchi na kunyamazisha sauti zote zinazojitokeza kudai haki, utulivu, na usawa.
Pia soma > Mchungaji Kimondo: Amani ipo iwapo haki itatendeka
Mchungaji Kimondo ametoa kauli hiyo jana Jumamosi, Julai 4, 2026, jijini Mbeya wakati wa mahojiano maalum na Sasa Live. Amesema vitendo hivyo vimeanza kuonekana kama jambo la kawaida na tabia inayojijenga nchini, jambo ambalo ni hatari na linapaswa kukemewa kwa nguvu zote na kila mpenda haki.
"Lengo la watekaji ni nini? Kwa fikra zangu, inawezekana ni mwendelezo wa kutaka kunyamazisha sauti za watu wasiendelee kudai haki zao na kudai watu waishi kwa utulivu. Nadhani viongozi hawataki kusikia sauti nyingine inayosema kinyume na kile wanachotaka wao... Polisi wanakiri kwamba wanaye huyo mtu lakini wamekaa siku kadhaa bila kumpeleka mahakamani. Kama ana hatia sheria ifuate mkondo wake, lakini sio kukaa na mtu kwa kificho," amesema Mchungaji Kimondo.