Mchungaji kusafisha nyota, hii imekaaje wadau?

Sina uhakika kinachoongelewa hapa, ila kitu kimoja ninachojua kwa uhakika ni bila nyota (Sun) hakuna maisha (uhai) na mimea na viumbe vyote tungekufa, na hii sayari tunayoishi isingekuwepo, kwa kweli mysterious ya universe ni siri kubwa sana na sijui kama tutakuja kujua katika hii stage ya maisha yetu, tuishi tuu ila tukubali hatujui chochote kuhusu life, hatujui tumetoka wapi au tunakwenda wapi na wala hatujui kwanini tuko hapa... mimi nimekubali naishi tuu
 
Uchawi mtupu hapa hamna mchungaji hapo mnaibiwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…