CUF Habari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 239
- 234
MCHUNGAJI LUKERE AJIUNGA NA CHAMA CHA WANANCHI (CUF) KIGOMA VIJIJINI.
HABARI Mchungaji lukere amejiunga wa chama Cha wananchi CUF katika kata ya kidahwe wilaya ya kigoma vijijini.
Mchungaji lukere amejiunga na chama Cha CUF mapema Leo na kukabidhiwa kadi na makamu mwenyekiti wa juke taifa ambaye ni mgombea Ubunge Jimbo la kigoma Vijijini.