Mchungaji Lusekelo: Libya na Iraq zinajuta kuwasaliti viongozi wao Gaddafi na Sadam Hussein, watanzania msifanye makosa mtajuta!

Kusema ukweli siasa na ushabiki vinawachanganya sana watu.

Juzi alisifiwa askofu fulani na kuaminika kwamba yeye ndie mchungaji haswa aliebakia Tanzania kwa sababu yupo upande ule uwafurahishao.
Wakaenda mbali na kusema hao wachungaji wengine wanaokaa kimya wanatumika na shetani.

Leo mchungaji mwingine anaelezea yale yale lakini nje ya upande waupendao, anaambulia matusi!!

Alisimama askofu fulani kugombea akaitwa ni mwenye kulinajisi kanisa kwasababu tuu hagombei upande ule uwafurahishao.

Lakini nafasi hio hio amegombea mchungaji fulani anaitwa kamanda na majina yote mazuri kwa sababu tu yupo upende ule uwafurahishao.

Kweli ni changamoto.
 
Usitumie Nguvu nyingi kujitenga na unafiki.

Ni lin Lusekelo kazungumzia Tume huru?? Ni kazungumzia habari za uminywaji wa uhuru kwa vyombo vya habar?? Ni linj kazungumzia habari za upinzan kuenguliwa kwa sababu za ujinga na ovyo????

Tunaposema tunahitaji watu kusema kusimamia haki hiyo ndio maana.

Askofu alosifiwa na Lissu, hajadifiwa sababu alienda kumsalimia...

Amesifiwa sababu anastahili ,sababu nimtu anayesimamia haki kwa uwazi.

Muwe mnaunganisha Ulimi na ubongo na vidole ndo muandike...sio kuandika as if hujashirikisha Kichwa.
 
Ajui chochote kuhusu iraq na Libya gadafi na Saddam walijitakiwa wenyewe walivuna walichopanda kosa lao kubwa ni kutegemea nguvu za dola badala ya nguvu ya umma. Dola haiwezi kukuakikishia kudumu madarakani bali umma. Kosa lao kubwa ni kuwagawa watu wao kutowaunganisha watu wao, usipowaunganisha watu wako watashirikiana na adui zako kukumaliza.
Kanuni za kuongoza nchi yeyeto duniani ni mbili ukizikosea lzm zitaback fire nazo ni
1.Usisomeshe namba watu wako .
2.Usichokoze maslai ya wakuu wa dunia.La muhimu kuliko yote ni la kwanza.
Ukisomesha namba watu wako ni lzm wataungana na adui zako kukumaliza either kwa njia ya demokrasia au kuundiwa vikundi vya waasi. China, Irani wameshindwa kusambaratishwa sababu ya kanuni hio ya kwanza kule hakuna kusomeshana namba Wala kukomoa raia Wala kubagua watu kwenye maendeleo wote ni wamoja wameunganisha Kama taifa so ni vigumu kwa adui kupenyeza ushawishi wako.
So Gadaffi na Saddam walijitakiwa wenyewe walivuna walichopanda kwa kutousikiliza umma kwa kuamini nguvu zingewaokoa.
 
Usitumie Nguvu nyingi kujitenga na unafiki.

Ni lin Lusekelo kazungumzia Tume huru?? Ni kazungumzia habari za uminywaji wa uhuru kwa vyombo vya habar?? Ni linj kazungumzia habari za upinzan kuenguliwa kwa sababu za ujinga na ovyo????

Tunaposema tunahitaji watu kusema kusimamia haki hiyo ndio maana.

Askofu alosifiwa na Lissu, hajadifiwa sababu alienda kumsalimia...

Amesifiwa sababu anastahili ,sababu nimtu anayesimamia haki kwa uwazi.

Muwe mnaunganisha Ulimi na ubongo na vidole ndo muandike...sio kuandika as if hujashirikisha Kichwa.
Bosi wangu mbona wewe nawe Ni Kama wale wale!
 
Wanajisi wa Biblia, kwa hili Waislam wametushinda sana Wakristo. Hawana upuzi wa hizi religious rooting companies (Ministries ).

Mijitu inajipendekeza tu
Ni wale wachungaji huduma zao zinaweza futwa mda wowote na msajili kwa maagizo toka juu,so kulinda matumbo yao ni lzm wafunge ndoa na tawala dhalimu.
 
Mzee wa upako ni kibaraka sawa na kina gamanywa, goe Dave, mch mashimo, nabii tito, kakobe, gwajiboy, mashehe wa bakwata hasa yule shehe wa bashite. Hawa wanamkufuru Mungu.
 
Mchungaji Anthony Lusekelo amewataka watanzania kutoiga iga mambo kwani demokrasia ina maana pana.

Mzee wa Upako amesema hata Marekani demokrasia wanayoihubiri hawaiishi kwa mfano Hilarry Clinton ndiye aliyeshinda kwa wingi wa kura lakini aliyeteuliwa kuwa Rais ni Donald Trump.

Kadhalika Uingereza Waziri mkuu anapigiwa kura lakini mfalme ndiye anayempitisha.

Lusekelo amewataka watanzania wajifunze Libya na Iraq waliotupa " mbachao" kwa msala upitao na sasa wanajuta.

Source Channel ten.

Maendeleo hayana vyama!
Hii nimifano yakijinga kweli sisi hatufanyi mapinduzi sisi tunafanya uchaguzi kwahiyo nitofauti na ulipopataja yeye anakula zakanisa sisihuku haliningumu
 
Mchungaji Anthony Lusekelo amewataka watanzania kutoiga iga mambo kwani demokrasia ina maana pana.

Mzee wa Upako amesema hata Marekani demokrasia wanayoihubiri hawaiishi kwa mfano Hilarry Clinton ndiye aliyeshinda kwa wingi wa kura lakini aliyeteuliwa kuwa Rais ni Donald Trump.

Kadhalika Uingereza Waziri mkuu anapigiwa kura lakini mfalme ndiye anayempitisha.

Lusekelo amewataka watanzania wajifunze Libya na Iraq waliotupa " mbachao" kwa msala upitao na sasa wanajuta.

Source Channel ten.

Maendeleo hayana vyama!
Magufuli ana kitu alichofanya cha kumlinganisha na uongozi wa gadafi
 
Mchungaji Anthony Lusekelo amewataka watanzania kutoiga iga mambo kwani demokrasia ina maana pana.

Mzee wa Upako amesema hata Marekani demokrasia wanayoihubiri hawaiishi kwa mfano Hilarry Clinton ndiye aliyeshinda kwa wingi wa kura lakini aliyeteuliwa kuwa Rais ni Donald Trump.

Kadhalika Uingereza Waziri mkuu anapigiwa kura lakini mfalme ndiye anayempitisha.

Lusekelo amewataka watanzania wajifunze Libya na Iraq waliotupa " mbachao" kwa msala upitao na sasa wanajuta.

Source Channel ten.

Maendeleo hayana vyama!
Alienda lini Libya wakamwambia wanajuta? Sisi tunata UHURU, HAKI NA MAENDELEO YA WATU. Hatutakuja kujuta kamwe.
 
Mchungaji Anthony Lusekelo amewataka watanzania kutoiga iga mambo kwani demokrasia ina maana pana.

Mzee wa Upako amesema hata Marekani demokrasia wanayoihubiri hawaiishi kwa mfano Hilarry Clinton ndiye aliyeshinda kwa wingi wa kura lakini aliyeteuliwa kuwa Rais ni Donald Trump.

Kadhalika Uingereza Waziri mkuu anapigiwa kura lakini mfalme ndiye anayempitisha.

Lusekelo amewataka watanzania wajifunze Libya na Iraq waliotupa " mbachao" kwa msala upitao na sasa wanajuta.

Source Channel ten.

Maendeleo hayana vyama!
Shida ya Mzee Wa upko ni elimu,
 
Back
Top Bottom