TANZIA Mchungaji Lyamuya wa KKKT ametutoka

TANZIA Mchungaji Lyamuya wa KKKT ametutoka

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1589289633761.png

Kanisa la KKKT KIA lampoteza mchungaji bwana Lyamuya.

Alale mahali pema peponi. Amina
 
Aisee pole kwa kanisa..ila kuna umuhimu makanisa kutafuta njia inayofaa kwa ibada kuepuka misongamano!

R.IP Pastor
 
Sisi wanaume tupo targeted na huyu COVID-19 kuliko wanawake sijui kuna mpango upi nyuma ya pazia.
 
  • Thanks
Reactions: ibn
HUKU KWEFU CORONA IMEISHA SASA TUNAPAMBANA NA MASHAMBULIZI YA MAPAFU NA KUSHINDWA KUPUMUA
 
Back
Top Bottom