TANZIA Mchungaji Lyamuya wa KKKT ametutoka

TANZIA Mchungaji Lyamuya wa KKKT ametutoka

View attachment 1448022
Kanisa la KKKT KIA lampoteza mchungaji bwana Lyamuya.

Alale mahali pema peponi. Amina
[/QUOTE
Kwa Hali ilivyo kuhusu watanzania kujikinga na corona kwenye vyombo vya usafiri,minadani,masokoni,stand za mabasi,makanisani,kwenye misiba ninashauri KKKT ichukue maamuzi magumu kuhusu mikusanyiko sambamba na ibadani vinginevyo mtawamaliza viongozi wa kanisani.
Kwa ujumla tanzania Hakuna jitihada za makusudi zinazochukuliwa na vyombo husika kuthibiti corona. Watu wanaokufa ni wengi kwa siku msidanganyike kuwa tuko salama na msichukulie corona kisiasa mwishoni tunakuja kulaumiana. Kwenye corona ni habari ya kisayansi na social distance ndio itakayo tuvusha ikiwa no pamoja na kumuomba mola.vinginevyo tusidanganyane tunaisha .
 
Sisi wanaume tupo targeted na huyu COVID-19 kuliko wanawake sijui kuna mpango upi nyuma ya pazia.
Beberu anataka kusaidia wajane...😀

Everyday is Saturday........................😎
 
Sisi wanaume tupo targeted na huyu COVID-19 kuliko wanawake sijui kuna mpango upi nyuma ya pazia.
Tulia wewe, hutaki kuhongwa? Wakiwa wengi sana sisi ndio tutakuwa dili kinoma. Omba ubaki hai, utakuja kuniambia.
 
View attachment 1448022
Kanisa la KKKT KIA lampoteza mchungaji bwana Lyamuya.

Alale mahali pema peponi. Amina
FB_IMG_1589256880808.jpg

RIP Mchungaji
 
Back
Top Bottom