darubin ya mbao
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 1,899
- 4,055
View attachment 1448022
Kanisa la KKKT KIA lampoteza mchungaji bwana Lyamuya.
Alale mahali pema peponi. Amina
[/QUOTE
Kwa Hali ilivyo kuhusu watanzania kujikinga na corona kwenye vyombo vya usafiri,minadani,masokoni,stand za mabasi,makanisani,kwenye misiba ninashauri KKKT ichukue maamuzi magumu kuhusu mikusanyiko sambamba na ibadani vinginevyo mtawamaliza viongozi wa kanisani.
Kwa ujumla tanzania Hakuna jitihada za makusudi zinazochukuliwa na vyombo husika kuthibiti corona. Watu wanaokufa ni wengi kwa siku msidanganyike kuwa tuko salama na msichukulie corona kisiasa mwishoni tunakuja kulaumiana. Kwenye corona ni habari ya kisayansi na social distance ndio itakayo tuvusha ikiwa no pamoja na kumuomba mola.vinginevyo tusidanganyane tunaisha .
Mungu awape faraja wafiwaWiki iliyopita hapa iringa mjini kuna jirani yangu mama alizika mwanae kutokana na covid leo kazikwa yeye kwa kweli imekua mwezi wa simanzi sana kwa hii familia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi wanaume tupo targeted na huyu COVID-19 kuliko wanawake sijui kuna mpango upi nyuma ya pazia.
Daaah! Nawafahamu hao, joshua na mama yakeWiki iliyopita hapa iringa mjini kuna jirani yangu mama alizika mwanae kutokana na covid leo kazikwa yeye kwa kweli imekua mwezi wa simanzi sana kwa hii familia
Sent using Jamii Forums mobile app
Beberu anataka kusaidia wajane...😀Sisi wanaume tupo targeted na huyu COVID-19 kuliko wanawake sijui kuna mpango upi nyuma ya pazia.
Rip apumzike kwa amaniView attachment 1448022
Kanisa la KKKT KIA lampoteza mchungaji bwana Lyamuya.
Alale mahali pema peponi. Amina
Tulia wewe, hutaki kuhongwa? Wakiwa wengi sana sisi ndio tutakuwa dili kinoma. Omba ubaki hai, utakuja kuniambia.Sisi wanaume tupo targeted na huyu COVID-19 kuliko wanawake sijui kuna mpango upi nyuma ya pazia.
Nimecheka kama mazuri!Sisi wanaume tupo targeted na huyu COVID-19 kuliko wanawake sijui kuna mpango upi nyuma ya pazia.
View attachment 1448022
Kanisa la KKKT KIA lampoteza mchungaji bwana Lyamuya.
Alale mahali pema peponi. Amina
Si ungemaliza tu shida ya kupumuaView attachment 1448022
Kanisa la KKKT KIA lampoteza mchungaji bwana Lyamuya.
Alale mahali pema peponi. Amina
Kwasababu ya punyeto mkuu. Asilimia kubwaya wanaume 95%Sisi wanaume tupo targeted na huyu COVID-19 kuliko wanawake sijui kuna mpango upi nyuma ya pazia.