Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Yupo gereza kwa kosa gani; wapi na lini?
Kichogokuna selo isiyo na kunguni nchi hii?
Ni ukweli usemalo.KAZI na utu,tusonge mbele!!
Labda ndio utu wenyewe huo!!
Am sorry j.k Nyerere!
Kuwaaminisha watz Tanzania haitakua salama bila ccm ndiko kunatitesa kama taifa!!
Tambiko hubadilishwa kutokana na mahitaji ya nyakati mzee wangu!!
Mungu ibariki Tanzania!
Ukipata majibu nishtueYupo gereza kwa kosa gani; wapi na lini?
ππππππ ππ€£ππππππuhaini kwa maneno yapi? Kusema ataKwenda mahakamani?Haina.
Ana kesi ya uhaini
Huko Kunanini tena??