Mchungaji Masanja "Mkandamizaji" Hebu uwe hofu ya Mungu

Mchungaji Masanja "Mkandamizaji" Hebu uwe hofu ya Mungu

Masanja alianza kama masihara pale mito Ya baraka jangwani kwa mchungaji Mwakibora.
Kiufupi ukitaka kumjua mchungaji mtizame baba yake Wa Kiroho. Ntatoa mfano;
( = BABA WA KIROHO)

KAKOBE=KULOLA RAZARO TEMEKE T.A.G DSM

Katunzi = KULOLA

Lwakatare= KULOLA and KIGOGO TAG PASTOR at some to times. To mention just the few. Point yangu ni kuwa mtoto hufanya kama Mzazi afanyavyo. Ila kwa case ya Masanja nashindwa kuelewa kuwa masanja afanyavyo ni sawa baba yake Wa kiroho alivyomfunza.
NB
Vigezo vipo vingi nimeamua kutumia hiki kimoja tu.

Kibiblia MF: Yesu ba wanafunzi wake, Paulo na wanafunzi wake ie Timotheo. Eliya na Elisha, Musa na Haruni,
Ingawa wanafunzi wengine wanaenda kinyume na walimu wao but inategemewa kuwa kila mwabafunzi anafanya kama baba yake wa kiroho afanyavyo.
 
Jamani MWACHENI apige hela za wasiofikiria kwa kina... Mbona pia wapo Madaktari hawajasomea na wateja wao wapo wengi na ni matajiri kupita kiasi.,.
 
Back
Top Bottom