Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 577
- 2,595
Vita ya Mchungaji Mashimo na timu ya Yanga imeingia Episode nyingine.
Kwenye video moja amesikia akitoa maneno makali kwa Ali Kamwe na Haji Manara. Namnukuu.
“Leo ndo nimejua kuwa Yanga wameweka Afisa Habari ambaye akili zake zipo kwenye Pua, Ali Kamwe. Ni viongozi wapuuzi, yaani wapuuzi kwa wapuuzi wamekutana, ng’ombe kwa ng’ombe wamekutana.”
Amemtaja pia Haji Manara kwa kusema “Sasa huyo Haji Manara anafungua domo lake kama la punda wawawaaaaa, ananitukana mimi. Who are you by the way? Mimi ni brand, brand yangu ni zaidi ya Haji Manara”
Mtanange bado unaendelea. Yetu Macho.