Mchungaji Mashimo: Akili za Ali Kamwe zipo kwenye Pua, Manara anafungua domo lake kama Punda

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2021
Posts
577
Reaction score
2,595
Vita ya Mchungaji Mashimo na timu ya Yanga imeingia Episode nyingine.


Kwenye video moja amesikia akitoa maneno makali kwa Ali Kamwe na Haji Manara. Namnukuu.

“Leo ndo nimejua kuwa Yanga wameweka Afisa Habari ambaye akili zake zipo kwenye Pua, Ali Kamwe. Ni viongozi wapuuzi, yaani wapuuzi kwa wapuuzi wamekutana, ng’ombe kwa ng’ombe wamekutana.”

Amemtaja pia Haji Manara kwa kusema “Sasa huyo Haji Manara anafungua domo lake kama la punda wawawaaaaa, ananitukana mimi. Who are you by the way? Mimi ni brand, brand yangu ni zaidi ya Haji Manara”

Mtanange bado unaendelea. Yetu Macho.
 
Loh
Tuendelee kuwaombea makuhani wetu
 
Brand Gani inaokota sadaka vimia tano stand mbezi usbh!!
 
Daudi tangu lini akawa na akili timamu?
Huyu dogo tunaomjua toka akiwa mgambo wa jiji anadhulumu watu tunawashangaa watu ambao wanasali kwenye ibada anazo ongoza.
 
Mimi ndiyo maana sijutii kuwa Mkatoliki. Maana huku hatuna matope kama hayo.

Hata kama baadhi ya Mapadre wetu wana madhaifu ya hapa na pale! Ila siyo kwa kiwango cha hao wahuni waliotapakaa kote duniani kwa sasa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…