Mimi ndiyo maana sijutii kuwa Mkatoliki. Maana huku hatuna matope kama hayo.
Hata kama baadhi ya Mapadre wetu wana madhaifu ya hapa na pale! Ila siyo kwa kiwango cha hao wahuni waliotapakaa kote duniani kwa sasa.
Nishajua.....🤔🤔🤔🤔🤔Vita ya Mchungaji Mashimo na timu ya Yanga imeingia Episode nyingine.
Kwenye video moja amesikia akitoa maneno makali kwa Ali Kamwe na Haji Manara. Namnukuu.
“Leo ndo nimejua kuwa Yanga wameweka Afisa Habari ambaye akili zake zipo kwenye Pua, Ali Kamwe. Ni viongozi wapuuzi, yaani wapuuzi kwa wapuuzi wamekutana, ng’ombe kwa ng’ombe wamekutana.”
Amemtaja pia Haji Manara kwa kusema “Sasa huyo Haji Manara anafungua domo lake kama la punda wawawaaaaa, ananitukana mimi. Who are you by the way? Mimi ni brand, brand yangu ni zaidi ya Haji Manara”
Mtanange bado unaendelea. Yetu Macho.
Anatafuta kiki kupitia YangaNdo wamekaa mbele kutupeleka peponi hawa hahahahaha
Kwanza heaven seats ni 47 tu
LinasadifuJina lake ni MASHIMO
Manara Hana muda wakutoa kiki Kwa mapimbiHuu ni wakati wa Manara kuvuna alichopanda. Watukanane sasa
Madre wamesoma mkuuMimi ndiyo maana sijutii kuwa Mkatoliki. Maana huku hatuna matope kama hayo.
Hata kama baadhi ya Mapadre wetu wana madhaifu ya hapa na pale! Ila siyo kwa kiwango cha hao wahuni waliotapakaa kote duniani kwa sasa.
Bila shaka atakuwa na mafungamano na mashimo ya choo. 😃Jina lake ni MASHIMO
Bila shaka atakuwa na mafungamano na mashimo ya choo. 😃
Kujiita mchungaji halafu unahubiri mambo ya mpira badala ya kuhubiri injili ili hata wale kondoo waliopotea na kuwa mashoga na wasagaji warejee kundini ni usaliti mkubwa kwenye imani.Vita ya Mchungaji Mashimo na timu ya Yanga imeingia Episode nyingine.
Kwenye video moja amesikia akitoa maneno makali kwa Ali Kamwe na Haji Manara. Namnukuu.
“Leo ndo nimejua kuwa Yanga wameweka Afisa Habari ambaye akili zake zipo kwenye Pua, Ali Kamwe. Ni viongozi wapuuzi, yaani wapuuzi kwa wapuuzi wamekutana, ng’ombe kwa ng’ombe wamekutana.”
Amemtaja pia Haji Manara kwa kusema “Sasa huyo Haji Manara anafungua domo lake kama la punda wawawaaaaa, ananitukana mimi. Who are you by the way? Mimi ni brand, brand yangu ni zaidi ya Haji Manara”
Mtanange bado unaendelea. Yetu Macho.
Ubhukie kughu?Aisee nimeona clip yake.... mchungaji ana matusi mazito huyu sijawahi shuhudia.....
Huwa anachunga nini huyu mchungaji? Ng'ombe au mbuzi?Aisee nimeona clip yake.... mchungaji ana matusi mazito huyu sijawahi shuhudia.....
Vita ya Mchungaji Mashimo na timu ya Yanga imeingia Episode nyingine.
Kwenye video moja amesikia akitoa maneno makali kwa Ali Kamwe na Haji Manara. Namnukuu.
“Leo ndo nimejua kuwa Yanga wameweka Afisa Habari ambaye akili zake zipo kwenye Pua, Ali Kamwe. Ni viongozi wapuuzi, yaani wapuuzi kwa wapuuzi wamekutana, ng’ombe kwa ng’ombe wamekutana.”
Amemtaja pia Haji Manara kwa kusema “Sasa huyo Haji Manara anafungua domo lake kama la punda wawawaaaaa, ananitukana mimi. Who are you by the way? Mimi ni brand, brand yangu ni zaidi ya Haji Manara”
Mtanange bado unaendelea. Yetu Macho.
Hajawahi kuwa na hatakuwa na waumini anaowaongoza zaidi ya kuhubiri pale Stend ya Mbezi. Hana lolote ajualo katika uchungaji na wala hana uchungaji ni mbabaishaji tu.Mchungaji wa mchongo eti nayeye ana waumini