Mchungaji Mashimo: Akili za Ali Kamwe zipo kwenye Pua, Manara anafungua domo lake kama Punda

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Vita ya Mchungaji Mashimo na timu ya Yanga imeingia Episode nyingine.

Kwenye video moja amesikia akitoa maneno makali kwa Ali Kamwe na Haji Manara. Namnukuu.

“Leo ndo nimejua kuwa Yanga wameweka Afisa Habari ambaye akili zake zipo kwenye Pua, Ali Kamwe. Ni viongozi wapuuzi, yaani wapuuzi kwa wapuuzi wamekutana, ng’ombe kwa ng’ombe wamekutana.”

Amemtaja pia Haji Manara kwa kusema “Sasa huyo Haji Manara anafungua domo lake kama la punda wawawaaaaa, ananitukana mimi. Who are you by the way? Mimi ni brand, brand yangu ni zaidi ya Haji Manara”

Mtanange bado unaendelea. Yetu Macho.
Nishajua.....🤔🤔🤔🤔🤔

Kumbe huyu ni kolo!!!!

Mamaeee
 
Mimi ndiyo maana sijutii kuwa Mkatoliki. Maana huku hatuna matope kama hayo.

Hata kama baadhi ya Mapadre wetu wana madhaifu ya hapa na pale! Ila siyo kwa kiwango cha hao wahuni waliotapakaa kote duniani kwa sasa.
Madre wamesoma mkuu

Siyo kama huyu kenge
 
Vita ya Mchungaji Mashimo na timu ya Yanga imeingia Episode nyingine.

Kwenye video moja amesikia akitoa maneno makali kwa Ali Kamwe na Haji Manara. Namnukuu.

“Leo ndo nimejua kuwa Yanga wameweka Afisa Habari ambaye akili zake zipo kwenye Pua, Ali Kamwe. Ni viongozi wapuuzi, yaani wapuuzi kwa wapuuzi wamekutana, ng’ombe kwa ng’ombe wamekutana.”

Amemtaja pia Haji Manara kwa kusema “Sasa huyo Haji Manara anafungua domo lake kama la punda wawawaaaaa, ananitukana mimi. Who are you by the way? Mimi ni brand, brand yangu ni zaidi ya Haji Manara”

Mtanange bado unaendelea. Yetu Macho.
Kujiita mchungaji halafu unahubiri mambo ya mpira badala ya kuhubiri injili ili hata wale kondoo waliopotea na kuwa mashoga na wasagaji warejee kundini ni usaliti mkubwa kwenye imani.
 
Vita ya Mchungaji Mashimo na timu ya Yanga imeingia Episode nyingine.

Kwenye video moja amesikia akitoa maneno makali kwa Ali Kamwe na Haji Manara. Namnukuu.

“Leo ndo nimejua kuwa Yanga wameweka Afisa Habari ambaye akili zake zipo kwenye Pua, Ali Kamwe. Ni viongozi wapuuzi, yaani wapuuzi kwa wapuuzi wamekutana, ng’ombe kwa ng’ombe wamekutana.”

Amemtaja pia Haji Manara kwa kusema “Sasa huyo Haji Manara anafungua domo lake kama la punda wawawaaaaa, ananitukana mimi. Who are you by the way? Mimi ni brand, brand yangu ni zaidi ya Haji Manara”

Mtanange bado unaendelea. Yetu Macho.

Mchungaji feki wa hovyo sana huyu, mhuni, mpuuzi, jinga, anything cha hovyo yuko, eti anajiita brand? Brand ya ujinga labda.
 
Back
Top Bottom