Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Mchungaji Daudi Mashimo aibuka na kudai baadhi ya viongozi wa dini wakiongea mabaya kwa serikali badala ya kuwa kitu kimoja na kuiombea nchi.
Huyo ni Mchungaji siyo Mchangaji au tufanye wote hatupo sahihi tumuite Mchangiaji...Mchangaji Daudi Mashimo aibuka nakudai baadhi ya viongozi wa dini wakiongea mabaya kwa serikali badala yakuwa kitu kimoja nakuiombea nchi.