Mchungaji Mashimo: Simba hawajanipa sadaka nimewalaani

Ujambazi wa wazi huu unaruhusiwa Tanzania na hachukuliwi ,hatua za kisheria?
 

 
Huyo mchungaji hata akipewa Mbuzi wawili tu ili awachunge,sidhani kama ataweza.
Huo sio ukristo, huyo ni sawa na babalevo kwenye tasnia ya sanaa huwezi kumwita msanii bali cjawa wa wasanii.
Mchungaji haombagi sadaka.
Huu ni uhuni.
Huu ni utapeli.
Maandiko yako wazi, sadaka hutolewa kanisani tena madhabahuni.

Sadaka zingine hupewa wahitaji au wajane na yatima...je yeye ni mjane?

Sadaka hutolewa kwa hiyari na haiombwi...huyu ni mwizi kwa kutumia imani ya Kikristo.

Haya makanisa binafsi asilimia 95% ni wezi na majambazi kwa kutumia biblia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…