Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni mpumbavu sana anafanya mzaha na mambo ya sadakaNimempigia simu msemaji wa simba Ahmed ally awaambie viongozi watoe sadaka yao kabla mchezo wa Super League Dhidi ya Al Ahly lakini hajapokea simu Yangu ameikata !
Tena bora michango huyo ana akili za kiganga na maruhaniMchungaji gani hajui maana ya sadaka. Sadaka ni hiari. Yeye anaongelea michango na sio sadaka aelimishwe.
Mchungaji ukitaka pesa useme tu siyo kuingiza mambo ya michezo na imani za watu kwani unaweza ukapotea vibaya mchungaji bila ya kutarajia, hivi vilabu Yanga na Simba vina mashabiki ambao wengine wanaroga bila kuambiwa na klabu bali kwa mapenzi yao, sasa mchungaji ukitaka utiwe chura wa tumbo usije kumtafuta mchawi nani. Waache vijana wakapambane kwani ndiyo wanawakilisha na kuitangaza Tanzania. Wacha hizo mchungaji mpenda sadaka wahed.MCHUNGAJI MASHIMO ATOA TAMKO BAADA YA AHMED ALLY KUMKATIA SIMU
"Nimeona watu wa simba wanajisifu wapo juu wamesahau kuna mtu aliewafanya wawepo hapo juu, wamesahau kwamba mimi ndio nlisema simba SC kuwa itafanya vizuri Msimu huu na tayari wamechukua ngao ya jamii
Nimempigia simu msemaji wa simba Ahmed ally awaambie viongozi watoe sadaka yao kabla mchezo wa Super League Dhidi ya Al Ahly lakini hajapokea simu Yangu ameikata !
Mwambieni ikifika hadi jioni saa 10 hawajatoa sadaka Basi watapata laana watafungwa magoli mengi na Al Ahly, sitaki mashabiki watoe sadaka zao hii wanatakiwa kutoa viongozi wa simba sio mashabiki
Yanga niliwaambia watoe fungu la Kumi Wakadharau, laana Ambayo nimeishusha kwao ni Kushika Nafasi ya Tatu kwenye Ligi kuu Hadi watakapoleta Ile sadaka iliyobakia ya msimu uliopita, na wasipotoa hawatafika Popote wataishia Makundi" Amefunguka Mchungaji wa Taifa Pastor Daniel Mashimo
LuoBoy MediaView attachment 2787173
extortionFreedom of worship
SahihiSio Mkristo huyo
Si kila ahubiriye Bwana Bwana ni mrumishi wa MunguHuwa anahubiri kila siku asubuhi pale stand mbezi mwisho.
Ana hitaji msaada.
Siwezi mhukumu.
Anasema iyo sadaka inatolewa kwa mungu anayemuabudu yeye!!! Mwenye akili timamu atakuwa amenielewa!MCHUNGAJI MASHIMO ATOA TAMKO BAADA YA AHMED ALLY KUMKATIA SIMU
"Nimeona watu wa simba wanajisifu wapo juu wamesahau kuna mtu aliewafanya wawepo hapo juu, wamesahau kwamba mimi ndio nlisema simba SC kuwa itafanya vizuri Msimu huu na tayari wamechukua ngao ya jamii
Nimempigia simu msemaji wa simba Ahmed ally awaambie viongozi watoe sadaka yao kabla mchezo wa Super League Dhidi ya Al Ahly lakini hajapokea simu Yangu ameikata !
Mwambieni ikifika hadi jioni saa 10 hawajatoa sadaka Basi watapata laana watafungwa magoli mengi na Al Ahly, sitaki mashabiki watoe sadaka zao hii wanatakiwa kutoa viongozi wa simba sio mashabiki
Yanga niliwaambia watoe fungu la Kumi Wakadharau, laana Ambayo nimeishusha kwao ni Kushika Nafasi ya Tatu kwenye Ligi kuu Hadi watakapoleta Ile sadaka iliyobakia ya msimu uliopita, na wasipotoa hawatafika Popote wataishia Makundi" Amefunguka Mchungaji wa Taifa Pastor Daniel Mashimo
LuoBoy MediaView attachment 2787173
Freedom of worship ruksa lakini kudai sadaka kwa watu kwa nguvu na lazima that not worship ni utapeli ,ujambazi na ushetaniFreedom of worship
Si kila ahubiriye Bwana Bwana ni mrumishi wa Mungu
Hilo lake la kudai sadaka kwa nguvu linamtbulisha kabisa kuwa sio mtumishi wa Mungu
Tapeli mganga njaa
Hapo kwenye njaa sifahamu ila ukitaka mahubiri yake utamkuta pale stand ya mbezi mwisho.Si kila ahubiriye Bwana Bwana ni mrumishi wa Mungu
Hilo lake la kudai sadaka kwa nguvu linamtbulisha kabisa kuwa sio mtumishi wa Mungu
Tapeli mganga njaa
Hapo kwenye njaa sifahamu ila ukitaka mahubiri yake utamkuta pale stand ya mbezi mwisho.
Akihimiza pia na swala la utoaji wa sadaka.
Kama ni kweli Ana dai sadaka kwa nguvu hiyo sio sawa.Kuhubiri kitu gani mtu aweza kuwa mhubiri akawa na pepo na akaleta shida kwa kanisa mfano kuna kimwanamke kwenye Biblia kilihubiri vizuri tu kumbe kina pepo kama Mashimo kinahubiri kumbe kina agenda ya kuharibu kanisa
Mashimo ana agenda ya kuchafua sifa ya kanisa.Kudai hizo sadaka kwa kutishia nk anaharibu credibility ya kanisa lazima akemewe kwa nguvu zote na atengwe kihuduma kwenye makanisa
Mdo 16:16-34
Ikawa tulipokuwa tukienda mahali pale pa kusali, kijakazi mmoja aliyekuwa na pepo wa uaguzi akatukuta, aliyewapatia bwana zake faida nyingi kwa kuagua. Akamfuata Paulo na sisi akipiga kelele, akisema, Watu hawa ni watumishi wa Mungu aliye juu, wenye kuwahubiria njia ya wokovu. Akafanya hayo siku nyingi. Lakini Paulo akasikitika, akageuka akamwambia yule pepo, Nakuamuru kwa jina la Yesu Kristo, mtoke huyu. Akamtoka saa ile ile. Basi bwana zake walipoona ya kuwa tumaini la faida yao limewapotea, wakawakamata Paulo na Sila, wakawakokota mpaka sokoni mbele ya wakuu wa mji; wakawachukua kwa makadhi, wakasema, Watu hawa wanachafua sana mji wetu, nao ni Wayahudi; tena wanatangaza habari ya desturi zisizokuwa halali kwetu kuzipokea wala kuzifuata, kwa kuwa sisi tu Warumi. Makutano wote wakaondoka wakawaendea, makadhi wakawavua nguo zao kwa nguvu, wakatoa amri wapigwe kwa bakora. Na walipokwisha kuwapiga mapigo mengi, wakawatupa gerezani, wakamwamuru mlinzi wa gereza awalinde sana. Naye akiisha kupata amri hii akawatupa katika chumba cha ndani, akawafunga miguu kwa mkatale. Lakini panapo usiku wa manane Paulo na Sila walikuwa wakimwomba Mungu na kumwimbia nyimbo za kumsifu, na wafungwa wengine walikuwa wakiwasikiliza. Ghafula pakawa tetemeko kuu la nchi, hata misingi ya gereza ikatikisika, na mara hiyo milango ikafunguka, vifungo vya wote vikalegezwa. Yule mlinzi wa gereza akaamka, naye alipoona ya kuwa milango ya gereza imefunguka, alifuta upanga, akataka kujiua, akidhani ya kuwa wafungwa wamekimbia. Ila Paulo akapaza sauti yake kwa nguvu, akisema, Usijidhuru, kwa maana sisi sote tupo hapa. Akataka taa ziletwe, akarukia ndani, akitetemeka kwa hofu, akawaangukia Paulo na Sila; kisha akawaleta nje akasema, Bwana zangu, yanipasa nifanye nini nipate kuokoka? Wakamwambia, Mwamini Bwana Yesu, nawe utaokoka pamoja na nyumba yako. Wakamwambia neno la Bwana, yeye na watu wote waliomo nyumbani mwake. Akawakaribisha saa ile ile ya usiku, akawaosha mapigo yao, kisha akabatizwa, yeye na watu wake wote wakati uo huo. Akawaleta juu nyumbani kwake, akawaandalia chakula, akafurahi sana, yeye na nyumba yake yote, maana amekwisha kumwamini Mungu.
Teh tehMchungaji ukitaka pesa useme tu siyo kuingiza mambo ya michezo na imani za watu kwani unaweza ukapotea vibaya mchungaji bila ya kutarajia, hivi vilabu Yanga na Simba vina mashabiki ambao wengine wanaroga bila kuambiwa na klabu bali kwa mapenzi yao, sasa mchungaji ukitaka utiwe chura wa tumbo usije kumtafuta mchawi nani. Waache vijana wakapambane kwani ndiyo wanawakilisha na kuitangaza Tanzania. Wacha hizo mchungaji mpenda sadaka wahed.