Mchungaji Matsai: Mimi niko timu ya Washindi Simba SC

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mchungaji Matsai wa KKKT Kimara amesema Yanga Wananchi ni Timu inayoishiaga hapa hapa nyumbani lakini Simba ni ya kimataifa kwa sababu ni Timu ya Washindi

Akiwa kwenye mahubiri Kanisani leo Mchungaji amesema Yeye yuko Timu ya Washindi

My take; Utopolo hawatoki Lupaso leo!
 
Mchungaji gani anayeshabikia simba na yanga madhabahuni? Huo ushabiki ashabikie nje ya madhabahu. Wachungaji dizaini hii wanashangaza sana kama wako serious na mambo ya imani
 
Mchungaji gani anayeshabikia simba na yanga madhabahuni? Huo ushabiki ashabikie nje ya madhabahu. Wachungaji dizaini hii wanashangaza sana kama wako serious na mambo ya imani
kuna mchungaji mmoja ni rafiki yanngu sasa ilibidi nimulize ivi unajisikiaje unavyo wapiga waumini fix

alicho nambia watu wengi wanatakaga kupewa moyo tuuh na hilo ndio jukumu lake kwao
 
Kama anashabikia timu kama simba, basi atakuwa ni Mchungaji mbumbumbu.
 
Mchungaji gani anayeshabikia simba na yanga madhabahuni? Huo ushabiki ashabikie nje ya madhabahu. Wachungaji dizaini hii wanashangaza sana kama wako serious na mambo ya imani
Wachungaji wa mishahara a. k. a occultic pastors. Siku hizi wapo mbwa mwitu wengi katika mazizi ya kondoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…