Mchungaji Msigwa akiri kumsingizia Kinana ujangili, amwangukia na kumwomba radhi

Sasa kama mchungaji unaongea uongo hivi hao unao wachunga si nikupiga majungu mwanzo mwisho kanisani? Yaani bora ukachagua moja siasa au uchungaji ona umavyoaibisha labda kama ni mchunga mbuzi sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ni dhahiri sasa kinana ndio rais ajaye kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, tulifanya kosa kubwa Lowassa hatukumuomba radhi kwenye ishue ya rada kwenye kampeni tulipata tabu kidogo kumsafisha lakini kwa Kinana tumewahi muda muafaka kabisa.

Karibu Kinana Tanzania inakuhitaji, ulitisha sana wakati wa JK bado alama zako zipo katika Mikoa mbali mbali "aujuae huu haujui huu"
 
Hawajaanza Leo kuwalaghai Watanzania kama walidiriki kumsingizia Rais Yu mahututi Ujerumani watashindwaje kumwambia Kinana ni Jangiri tuwapuuze haya ndio maisha yao wanachadema
 
Ni hukumu ya Kesi ya Madai (Civil case) namba 108 ya mwaka 2016.

Nimeona niiambatanishe hapa JF ili wadau ambao ni wataalam wa Sheria waichambue na kutupa mafunzo sisi wengine juu ya hatari zilizo mbele kwa kuamua kutoa tuhuma dhidi ya wengine bila ushahidi.
 

Attachments

Mchungaji anapotenda dhambi ya " Uzushi" ni jambo ovu sana mbele zake Mungu.

Mchungaji Msigwa inabidi aende Kanisa Katoliki akafanye toba ya wazi na kuwataja waliomtuma amsingizie mzee Kinana!
 
Uzuri sio mchungaji.
 
Mchungaji anapotenda dhambi ya " Uzushi" ni jambo ovu sana mbele zake Mungu.

Mchungaji Msigwa inabidi aende Kanisa Katoliki akafanye toba ya wazi na kuwataja waliomtuma amsingizie mzee Kinana!
Lakini mchungaji Msigwa amemuomba Kinana msamaha hadharani hii ni zaidi ya kukiri kosa, sasa wewe unataka njia yako binafsi aifuate as if umekuwa msemaji wa mzee Kinana... labda unaajenda ya siri dhidi ya mch.Msigwa na chuki ya nyoka cobra

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…