SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 1,213
- 1,918
Tofauti ya CCM na CHADEMA ni SARE ZA MAGWANDA tu, yaliyobaki wanafanana kama makalio....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana hiki chama nimeshindwa kukielewa kabisa ni kama wahuni fulani hivi, samahani Kwa kuwakwaza povu ruhusaAwaombe Msamaha na wanaufipa pia hasa wa humu jamvini kwa kuwaingiza mkenge.
Nimemsikia Mch Msigwa akimsafisha Mzee Kinana kuhusiana na kashafa ya Ujangili Pembe za ndovu.
Je hii inaweza kuwa mbinu ya kuandaa mazingira mazuri ya kumkaribisha Mzee Kinana aliyewahi kuwa Katibu mkuu wa CCM kuelekea Chadema?
WuondruokTofauti ya CCM na CHADEMA ni SARE ZA MAGWANDA tu, yaliyobaki wanafanana kama makalio....
Ina maana tumekua na Katibu Taifa mwenye uraia wa nchi mbili?Wanataka wampe kinana agombee Urais
Wameanza kumsafisha [emoji3]
Ila Chadema wasisahau hatuna sera za uraia pacha Tanzania
Laana kubwa sana inawatafuna Chadema kutokana na ndimi za uongoHii ni move fulani ya kisiasa ambayo mbumbumbu hawezi kung'amua , Ikumbukwe kwamba Kinana hayuko lumumba
Chezo ndio kwanza linaanza
Kinana is one of the billionaires wa nchi hiiMsomali ana roho ya kiungwana, kinana hathamini pesa, anathamini utuu. Alipokuwa Katibu Mkuu wa CCM, kuna miezi mshahara wake alikuwa anaugawa pale officini kwa wafanyikazi wenye shida na matatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnashabikia wazushi na waongo! Ni aibu kiongozi wa chama cha upinzani kudanganya umma! Nani atawaamini kukabidhi nchi waongo. Ningelikuwa wewe kuanzia leo ningelikaa kimyaTembo wameongezeka sana toka ile meli ikamatwe
Hata Lowasa alikuwa Fisadi baadae akasafishwaMbona Chadema walisema ni jangili?