technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Kinana amekipigania sana chama kwa jasho na damu nakumbuka mwaka 2014 jinsi alivyozunguka nchi na kujibu hoja za wananchi nilikutana naye Arusha hakuwa mropokaji kama nape ila alijitahidi kukirudisha chama kwenye misingi leo anatukanwa na vijawa wahuni wa ccm very sad mambo kwa hakika yana-change!
Leo Magufuli anamfanya kama mtoto wacha aende tu ni mtu ambaye amekitumikia chama kwa umakini mkubwa bila kuropoka kama wenzie wakina Nape na sasa Bashiru na Polepole.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni ana uhuru wa kufanya maamuzi anayoona yanafaa bila uhuru wake kuingiliwa!