Mchungaji Msigwa akiri kumsingizia Kinana ujangili, amwangukia na kumwomba radhi

Mchungaji Msigwa akiri kumsingizia Kinana ujangili, amwangukia na kumwomba radhi

Twende na Kinana, ni muda wa kumsafisha... madodoki kazini.
Kama ni kusadishwa, basi Mahakama ya Magufuli ndio iliyomsafisha na kumrejeshea haki yake.

Chadema haihusiki, wao wamemuambia msigwa hatutaweza kukuchangia, kaombe msamaha, yule ni msomali hana tamaa ya pesa, anapenda heshima yake zaidi ya sifa au pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Politics is a polytric and let an oppresor be a down pressor because his ambition is to submage Jah's creation that float on liberty-culture
 
Apa safari ya kuelekea kwa bwashemeji imewadia anataka akale mema ya nchi.

Kila la heri lakini, ni dalili tu ya mawingu
 
Msigwa amejiunga na.Zitto,hawezi kuaminika tena
Aliambiwa akanushe akakataa,kaona.kesi.imekua.ngumu.ndio anaomba radhi,kama alijua.ni uongo kwa.nini alikubali kupelekwa mahakamani...
Msomali ana roho ya kiungwana, kinana hathamini pesa, anathamini utuu. Alipokuwa Katibu Mkuu wa CCM, kuna miezi mshahara wake alikuwa anaugawa pale officini kwa wafanyikazi wenye shida na matatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemsikia Mch Msigwa akimsafisha Mzee Kinana kuhusiana na kashafa ya Ujangili Pembe za ndovu.

Je hii inaweza kuwa mbinu ya kuandaa mazingira mazuri ya kumkaribisha Mzee Kinana aliyewahi kuwa Katibu mkuu wa CCM kuelekea Chadema?
 
Back
Top Bottom