Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OhoooòNatoa tamko la kumuomba radhi Abdulrahman Kinana, ikumbukwe nilikuwa na kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania iliyofunguliwa na Kinana kutokana na matamshi niliyowahi kuyatoa kumuhusisha na ujangili. Ninakiri tuhuma hizo hazikuwa za kweli wala ushahidi wowote, bali zilikuwa na malengo potofu ya kisiasa na kizandiki.
Pia soma >
Kinana kupitia Wanasheria amuandikia Msigwa kumtaka amuombe radhi
Kinana amburuza Msigwa kortini
View attachment 1454087
Kinana aliweka Masharti ya kesi hiyo alipofungua hayo mashtaka, na mojawapo ni kuwa aombe msamaha hadharani, la sivyo angehitajika kumlipa mabillion ya pesa.Angeomba kwa siri! Kuomba hadharan ina athari kubwa sanaaa! Wengi wataanza kuamini tuhuma nyingi kwa viongozi was serikali ni za kupikwa
Ingekuwa busara kama angesema na mengine ambayo aliwasingizia watu na kuwapa tuhuma za uongo akiwa Bungeni.Kuomba radhi ni uungwana japo ilitakiwa afanye hivyo kabda ya hukumu ya mahakama kuu.
Hii pia inatoa taswira kwamba madai mengi ya wanasiasa yanakua ya uongo kwa ajili ya malengo ovu au kupata umaarufu wa kisiasa. Bahati mbaya sana malengo yao hayo huumiza watu kwa kuwavunjia heshima zao katika jamii, heshima ambazo wengine wamejijengea kwa miaka mingi.
Sijapenda, ni kosa kubwa kwa mtu mwenye hadhi yake kusema uongo au kusikiliza mambo ya vijiweni ukayaleta katika seroius matter!Retired una maoni gani baada ya hili?
Dah!...wanasiasa si watu wa kuwaamini kabisa, wabaya sana hawa binadamu.Kuomba radhi ni uungwana japo ilitakiwa afanye hivyo kabda ya hukumu ya mahakama kuu.
Hii pia inatoa taswira kwamba madai mengi ya wanasiasa yanakua ya uongo kwa ajili ya malengo ovu au kupata umaarufu wa kisiasa. Bahati mbaya sana malengo yao hayo huumiza watu kwa kuwavunjia heshima zao katika jamii, heshima ambazo wengine wamejijengea kwa miaka mingi.
Ni swala la Muda tu, binafsi ningependa huko wanakoenda wakapambane kwenye kura za maoni kwa nguvu zao bila usaidizi.
Hata hivyo inauma sana kuona Upinzani hasa Chadema ukimomonyoka kama mkate kwenye chai wakati chama kimejengwa kwa jasho na damu.
Hii inashusha hadhi yenu kama wapinzani wa CCM. Too sad my dear friends.Sijapenda, ni kosa kubwa kwa mtu mwenye hadhi yake kusema uongo au kusikiliza mambo ya vijiweni ukayaleta katika seroius matter! Nadhani alifany hivyo kwa vile Tanzania imetawaliwa na chuki za wanasiasa kama unavyoona CDM wanaumizwa!