Mchungaji Msigwa akiri kumsingizia Kinana ujangili, amwangukia na kumwomba radhi

Mchungaji Msigwa akiri kumsingizia Kinana ujangili, amwangukia na kumwomba radhi

CHADEMA kuweni makini na huyu mtu, kabakiza mwili tu roho tayari ipo CCM.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhama chama isiwe dhambi,,attitude za cdm kuona wanaohama chama Ni wasaliti ndio inachochea zaidi watu watumie ngawira kuwanunua.

Chadema wajitahidi kuzalisha wanasiasa wengi na kuwapa Uhuru wa kwenda CCM,,,wahakikishe kila mbunge wa CCM ametokea cdm,kila mkuu wa wilaya,mkoa,waziri awe asili yake Ni cdm
 
Kabisa mkuu!

Huyo Mchungaji Msigwa katolewa jela na mwenyekiti wa CCM...... Usisahau hilo bwashee!
Duh ama kweli haki haipotei, kwenye hili nilizungumzia sana humu JF, nikapigwa vita sana na akina Marehemu Ben Saanane, Yericko Nyenyere na wengine wengi.

CCM Itawaokoa wengi, wanachama au viongozi wetu hata wakiwa na ugomvi, basi hauwapiti wao na haudhuru chama.

Kinana always atakuwa mtu wakukichunga chama na mlezi wa vijana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunakoelekea mpaka kufika October vyama mbadala vitakua vimepoteza kwa kiasi kikubwa wafasi wanachama na Wabunge viongozi wa vyama mbadala wanapaswa wajisahihishe hususani chama kikuu cha upinzani mwenyekiti asipojisahihisha atawapoteza wabunge wengi zaidi kwa maneno ya Mchungaji Msigwa leo tusibili lolote kujili.

Tuchukue tahadhari corona inaua.
tapatalk_1589794991416.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom