Mchungaji Msigwa akiri kumsingizia Kinana ujangili, amwangukia na kumwomba radhi

Mchungaji Msigwa akiri kumsingizia Kinana ujangili, amwangukia na kumwomba radhi

Yale Yale kwamba Leo lowassa fisadi kesho Lowassa siyo fisadi!!!shame on chadema!!hamtaiona Ikulu mpaka Yesu arudi
 
... HAWA JAMAA WATAMUUNGA MKONO KILA ANAYEPINGANA NA JPM NA WATAMTUKANA KILA ANAYEPATANA NA JPM.
Wafundishe vijana wa Lumumba, hawaelewi jinsi upepo unavyobadilisha kauli za wanasiasa
 
Mch Msigwa bhana......hujui nyuma ya pazia, ungeacha tu kuomba radhi, wala wafipa wa huku ndani wasiombwe radhi.
Usisahau fidia aliyoitaka kinana inaweza fikia mabillion ya Tanzania shillings, angezitoa wapi, kapiga hesabu kaona afadhali akampigie magoti Kinana, naye Kinana kawa muungwana , kamuinua kijana na akampaa mawaidha na kikombe cha chai na viholoso vya Ramadhani, basi yakaisha.

Pesa sio utu wala uungwana, hapo wengine wangetaka pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom