Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,652
- 4,972
If you read between the lines you know something is about to happen. Kuna watu wanasema atahamia CCM ila ukweli ni kuwa wazee aka mafounders are backing out.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah..we jamaa unaona mbali Sana.. However Mimi nafikir watampa Membe but campaign manager atakua Kinana,wanahisi KAZI aliyofanya kuwapatia ushindi Marais wawili waliopita kutawapatia edge.Wanataka wampe kinana agombee Urais
Wameanza kumsafisha [emoji3]
Ila Chadema wasisahau hatuna sera za uraia pacha Tanzania
Nimeangalia ile facial expression wakati anaongea ikanifikirisha sana!Wabunge wengi huwa hawajiandai maisha nje ya Ubunge, hivyo namwona Msigwa akimfuata Lijuakali muda sio mrefu.
Dah..we jamaa unaona mbali Sana.. However Mimi nafikir watampa Membe but campaign manager atakua Kinana,wanahisi KAZI aliyofanya kuwapatia ushindi Marais wawili waliopita kutawapatia edge.
Angalizo: inabidi wawe makini manake CCM ni vinara na hodari Sana wa Siasa kweli kweli..mara nyingi wanafanya hesabu za miaka 10 mbele.
Kwa watu tuliokuwa tumeiweka chadema kwenye damu, usaliti wa 2015 ndiyo ulikuwa turning point ya maumivu.Kiukweli wengine tulijua Chadema ingeyumba after 2015 lakini kinachoendelea na pengine more worse to come Inasikitisha. Tunaonekana wengine hatuipendi Chadema lakini inasononesha kazi kubwa kujenga chama inavyobomoka kama hakuna kitu kinachotokea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchambi ni jangili mzowefu Maswa game kaimaliza yeye zamana ya nini sasa?Mabunduki 10 yote ya nini? Labda aliachiwa na babu zake. Mahakama itaamua.
Hakusema yeye ila aliambiwa hivyo na watu wa Bandari kutokana na kukosekana kwa nyaraka za mzigo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama alikuwa anafanya polepole ili asinh'amuliwe?Sasa kafanya homework kwa miaka zaidi ya sita kujua kinana sio jangili?
I am sure kuna homework zingine hajamaliza.
Tuendelee kusubiri.
Ninachokuambia Msigwa amehakikishiwa jimbo baada ya mpinzani wake kurip.
Mnyika naye ameshaaga Kibamba atakuwa mbunge wa mkoani zamu hii...
Ni swala la Muda tu, binafsi ningependa huko wanakoenda wakapambane kwenye kura za maoni kwa nguvu zao bila usaidizi.Nimeangalia ile facial expression wakati anaongea ikanifikirisha sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahah.. Wakuu hivi huu huwa ni ujinga tu au ni makusudi?..mbona bwana mkubwa alisema UONGO kuwa vichwa vya treni alivyovikuta bandarini vilikuwa havina mwenyewe?
..wakati ukweli ni kwamba vichwa hivyo vilinunuliwa na serikali ya JK?
..bwana mkubwa mpaka leo hajakiri UONGO wake.
Ndio mada iliyopo hiyo?Kwani Aliyempiga risasi lissu 38 siamekimbilia kijijini kwa kuogopa corona. Na ndo mgombea wenu
inaweza kuwa haendi ccm ila kinana anaenda chadema pengine na timu membe hivyo hii ni njia kwanza kumsafisha ili akienda isitumike kama agenda ya ccm kwenye uchaguzi kama ilivyokuwa ya lowasa ...CHADEMA kuweni makini na huyu mtu, kabakiza mwili tu roho tayari ipo CCM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani unadhani Kinana ni wa Lumumba?Safari ya kuelekea Lumumba imeanza.
Safari ya kuelekea Lumumba imeanza.
Atafuatia J J Mnyika kumuomba radhi mzee Kikwete kwa kumkosea adabu na kumwita dhaifu!
Hahahahah.. Wakuu hivi huu huwa ni ujinga tu au ni makusudi?
Unajiita mbadala wa ccm, ukikosea unasema mbona hata kule kuko hivi,! Sasa utofauti wenu ni ccm ni upi hasa?
Sent using Jamii Forums mobile app