Mchungaji Msigwa akiri kumsingizia Kinana ujangili, amwangukia na kumwomba radhi

Mchungaji Msigwa akiri kumsingizia Kinana ujangili, amwangukia na kumwomba radhi

Natoa tamko la kumuomba radhi Abdulrahman Kinana, ikumbukwe nilikuwa na kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania iliyofunguliwa na Kinana kutokana na matamshi niliyowahi kuyatoa kumuhusisha na ujangili. Ninakiri tuhuma hizo hazikuwa za kweli, zilikuwa na malengo potofu"

View attachment 1454077
Mch Msigwa bhana......hujui nyuma ya pazia, ungeacha tu kuomba radhi, wala wafipa wa huku ndani wasiombwe radhi.
 
Je ikiwa vice versa utasemaje Jo?

Jr[emoji769]
Ninachokuambia Msigwa amehakikishiwa jimbo baada ya mpinzani wake kurip.

Mnyika naye ameshaaga Kibamba atakuwa mbunge wa mkoani zamu hii.

Chadema ina uhakika wa kubakia na Heche pamoja na Mdee.

Hapa ninapokuambia anaangaliwa Sugu kama arudishwe Dar.

Mambo ni moto bwashee!
 
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahhahahhahahahahahahahahahahahahhahhahahahahahahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahhhhahahahahhahahahahahhahahhahah🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
 
Kuomba radhi ni uungwana japo ilitakiwa afanye hivyo kabda ya hukumu ya mahakama kuu.

Hii pia inatoa taswira kwamba madai mengi ya wanasiasa yanakua ya uongo kwa ajili ya malengo ovu au kupata umaarufu wa kisiasa. Bahati mbaya sana malengo yao hayo huumiza watu kwa kuwavunjia heshima zao katika jamii, heshima ambazo wengine wamejijengea kwa miaka mingi
Sesten Zakazaka, kwa hoja yako hii- Mwezi wa Ramadhan 2020 umekamilika
 
Back
Top Bottom