Kifaurongo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 4,221
- 2,359
Mheshimiwa ana bahati sana, kwa madai yale ya fidia, ameokoka kufilisiwa. Wakili wa Kinana lazima awe amechukua chake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote wako hvivyo.. ona rais anavyodanganya kla siku as if wote tanzania ni majuha! Hivyo na Msigwa anapitisha mle mle! Ni kweli mpaka leo ni vifo 16 tu? mfano mdogo...Hii inashusha hadhi yenu kama wapinzani wa CCM. Too sad my dear friends. Kila siku nawaeleza strength ya upinzani katika nchi yeyote ni kutamka kitu ambacho kimefanyiwa utafiti ili watu wawaamini. Poleni sana
Tatizo la CHADEMA ni kuamini wao ni trick stars. watoto wa mjini, sifa za watu wa hovyo waliofanikiwa awamu ya 4. Walipokijenga mwaka 2015 walisaidiwa na makundi ndani ya CCM wakibadili rais.Kiukweli wengine tulijua Chadema ingeyumba after 2015 lakini kinachoendelea na pengine more worse to come Inasikitisha.
Tunaonekana wengine hatuipendi Chadema lakini inasononesha kazi kubwa kujenga chama inavyobomoka kama hakuna kitu kinachotokea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni move fulani ya kisiasa ambayo mbumbumbu hawezi kung'amua , Ikumbukwe kwamba Kinana hayuko lumumbaSafari ya kuelekea Lumumba imeanza.
Atafuatia J J Mnyika kumuomba radhi mzee Kikwete kwa kumkosea adabu na kumwita dhaifu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hako kakichaka unakotaka kujificha katafyekwa soon sijui mtajificha wapi.Wote wako hvivyo.. ona rais anavyodanganya kla siku as if wote tanzania ni majuha! Hivyo na Msigwa anapitisha mle mle! Ni kweli mpaka leo ni vifo 16 tu? mfano mdogo...
Hii ni move fulani ya kisiasa ambayo mbumbumbu hawezi kung'amua , Ikumbukwe kwamba Kinana hayuko lumumba
Natoa tamko la kumuomba radhi Abdulrahman Kinana, ikumbukwe nilikuwa na kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania iliyofunguliwa na Kinana kutokana na matamshi niliyowahi kuyatoa kumuhusisha na ujangili. Ninakiri tuhuma hizo hazikuwa za kweli wala ushahidi wowote, bali zilikuwa na malengo potofu ya kisiasa na kizandiki.
Pia soma >
Kinana kupitia Wanasheria amuandikia Msigwa kumtaka amuombe radhi
Kinana amburuza Msigwa kortini
View attachment 1454087
Katika historia ya vita na umwagaji damu duniani wanasiasa ndio wamekua vyanzo kwa kiasi kikubwa sanaDah!...wanasiasa si watu wa kuwaamini kabisa, wabaya sana hawa binadamu.
Hahahaaaa...... Hahahaaaa...... Kwisha habari yenu!Hii ni move fulani ya kisiasa ambayo mbumbumbu hawezi kung'amua , Ikumbukwe kwamba Kinana hayuko lumumba
Sitegemei serikali iseme ukweli ila upinzani ukizusha ni dhambi kubwa. Nampenda Mbowe ila tatizo lake ni njaa na tumbo lake lisiloshiba.Wote wako hvivyo.. ona rais anavyodanganya kla siku as if wote tanzania ni majuha! Hivyo na Msigwa anapitisha mle mle! Ni kweli mpaka leo ni vifo 16 tu? mfano mdogo...
Kwahiyo inafanya justification? Kweli ukiwa ndondocha wa siasa akili binafsi unaweka kwapani...mbona bwana mkubwa alisema UONGO kuwa vichwa vya treni alivyovikuta bandarini vilikuwa havina mwenyewe?...
mnatoanaga mapovu ya nini kama mnajuana waongo tu wote?Wote wako hvivyo.. ona rais anavyodanganya kla siku as if wote tanzania ni majuha! Hivyo na Msigwa anapitisha mle mle! Ni kweli mpaka leo ni vifo 16 tu? mfano mdogo...
Kwahiyo inafanya justification? Kweli ukiwa ndondocha wa siasa akili binafsi unaweka kwapani.
Lazima mtetee hata upumbavu tu ilimradi yuko upande wako!
Kama alitudhihirishia uhusika wa comrade Kinana kujihusisha na poaching,na Sasa ameomba radhi kwa uzandiki na Nia ovu, atashindwa Nini kununuliwa kwa vipande 30. Masnitch tu. Wametupotezea damu jasho na roho zetu.Je ikiwa vice versa utasemaje Jo?
Jr[emoji769]
..mimi naamini cdm ni bora kuliko ccm.
..lakini niliyekuwa namjibu ni kijana wa uv-ccm ambaye bila kulazimishwa na mtu yoyote amedai kwamba ccm ni sawa na cdm.
Upinzani wakifanya huo ufala safari hii kura itabidi wajipigie wao wenyeweWanataka wampe kinana agombee Urais
Wameanza kumsafisha [emoji3]
Ila Chadema wasisahau hatuna sera za uraia pacha Tanzania