Mchungaji Msigwa aomba michango kusaidia gharama za kesi ya Nyagali Mdude Mahakama Kuu Mbeya

Mchungaji Msigwa aomba michango kusaidia gharama za kesi ya Nyagali Mdude Mahakama Kuu Mbeya

Jamani hawa chadema nao hakuna kitu, ni pumba tu. Miaka mi5 iliyopita walikuwa wanavuta mabilioni ya ruzuku kila mwezi, na makato ya wabunge juu, walikuwa wanatafuna zote bila kuweka hata za dharula kidogo? Ni kweli kutoa ni moyo, lakini kuwachangia wenye meno napo yataka moyo mwingine!
 
Yaani asiyekuelewa Ni Kama umeandika kwa nia njema kumbe umejaa hira na ushetani. Hii kesi Ni sehemu ya dhambi za Magufuli
 
Tunahakikishiwa vipi usalama wa michango yetu,manake michango tuliyotoa kwa marehemu Mawazo waligawana Mbowe na Mrema.
 
Mbinu za medani: Aida Khenan, Mbunge wa Nkasi ndiyo awe Mwenyekiti wa CHADEMA
 
Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Nyanda za Juu Kusini mchungaji Msigwa anaomba michango kugharamia nauli na mahitaji muhimu ya wakili anayemwakilisha Kamanda Nyangali Mdude katika kesi inayomkabili mahakama kuu Mbeya.

Michango itumwe kwa mwenyekiti mchungaji Msigwa na unaweza kutuma kiasi chochote ulichonacho.

Siasa siyo uadui na kutoa ni moyo siyo utajiri.

Heri wenye moyo safi.
Hawa Chadema vp,yaani kiinua mgongo chote mlichopata mnashindwa kutoa hata millioni 40!kugharamia hiyo kesi.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Nyanda za Juu Kusini mchungaji Msigwa anaomba michango kugharamia nauli na mahitaji muhimu ya wakili anayemwakilisha Kamanda Nyangali Mdude katika kesi inayomkabili mahakama kuu Mbeya.

Michango itumwe kwa mwenyekiti mchungaji Msigwa na unaweza kutuma kiasi chochote ulichonacho.

Siasa siyo uadui na kutoa ni moyo siyo utajiri.

Heri wenye moyo safi.
Kwa yeyote mwenye chochote; Tafadhali changia kusaidia nauli na mahitaji mengine ya wakili ya kuendesha kesi ya Mdude Nyangali inayosikilizwa mahakama kuu Mbeya.

Changia kupitia:
M-PESA 0754360996.
Jina: REV PETER MSIGWA

Mpaka sasa, imepatikana 144,000/=

#NguvuYaUmma https://t.co/d8Gyit2a4V
 
Ni jambo jema bwashee!
 
Tangazo
Screenshot_20210506-223213_Twitter.jpg
 
Michango inaingia kwenye akaunti binafsi ya mtu?

Ndio maana kesi haisimamiwi na chama. Au unakonda? Lile jizi la kura na dhalimu ndio liliagiza Mdude abambikiwe kesi.
 
Back
Top Bottom