Mchungaji Msigwa apendekezwa kumrithi Mbowe nafasi ya mwenyekiti CHADEMA 2023 atakapostaafu!

Mchungaji Msigwa apendekezwa kumrithi Mbowe nafasi ya mwenyekiti CHADEMA 2023 atakapostaafu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wanachama wa CHADEMA mkoani Iringa wamependekeza mchungaji Msigwa agombee uenyekiti wa CHADEMA 2023.

Joseph Kibiki anasema CHADEMA Iringa na kanda ya Nyasa kwa ujumla watafanya kila linalowezekana kuhakikisha mchungaji Msigwa anakuwa nahodha wa CHADEMA baada ya mh Mbowe kustaafu kwa mafanikio makubwa.

Akadodi ndauli!
 
Dimondi anawangalia halafu anaimba
"Wataweza kweli aaah wapi,
Kushindana nasi, aah wapi,
hata akiletwa Msigwa, haitawezekana" 🎶🎶
IMG_20210605_170351.jpg
 
Wanachama wa Chadema mkoani Iringa wamependekeza mchungaji Msigwa agombee uenyekiti wa Chadema 2023.

Joseph Kibiki anasema Chadema Iringa na kanda ya Nyasa kwa ujumla watafanya kila linalowezekana kuhakikisha mchungaji Msigwa anakuwa nahodha wa Chadema baada ya mh Mbowe kustaafu kwa mafanikio makubwa.

Akadodi ndauli!
Mnajua Mbowe atawaoa? Hamlali kisa Mbowe, basi awaoe awaweke nyumbani kwake. Kelel za Mbowe, Mbowe, Mbowe sasa basi.
 
Wanachama wa Chadema mkoani Iringa wamependekeza mchungaji Msigwa agombee uenyekiti wa Chadema 2023.

Joseph Kibiki anasema Chadema Iringa na kanda ya Nyasa kwa ujumla watafanya kila linalowezekana kuhakikisha mchungaji Msigwa anakuwa nahodha wa Chadema baada ya mh Mbowe kustaafu kwa mafanikio makubwa.

Akadodi ndauli!
Wewe mwenyewe unamkubali mbowe sasa inakuaje tena mnataka mbowe aondolewe?

Mataga naona mama amewavuruga kabisa.

Wewe mwenyewe unamkubali mbowe sasa inakuaje tena mnataka mbowe aondolewe?

Mataga naona mama amewavuruga kabisa.

Mbowe katangaza kustaafu 2023 au wewe mwenzetu uko Chadema gani?
 
Kwanini asipewe mwanamke huo uenyekiti mbona wenzetu mwenyekiti wao ni mwanamke
 
Back
Top Bottom