Mchungaji Msigwa apendekezwa kumrithi Mbowe nafasi ya mwenyekiti CHADEMA 2023 atakapostaafu!

Wanachama wa CHADEMA mkoani Iringa wamependekeza mchungaji Msigwa agombee uenyekiti wa CHADEMA 2023.

Joseph Kibiki anasema CHADEMA Iringa na kanda ya Nyasa kwa ujumla watafanya kila linalowezekana kuhakikisha mchungaji Msigwa anakuwa nahodha wa CHADEMA baada ya mh Mbowe kustaafu kwa mafanikio makubwa.

Akadodi ndauli!
Mmeacha ya kwenu mnadandia ya jirani
 
Wanachama wa CHADEMA mkoani Iringa wamependekeza mchungaji Msigwa agombee uenyekiti wa CHADEMA 2023.

Joseph Kibiki anasema CHADEMA Iringa na kanda ya Nyasa kwa ujumla watafanya kila linalowezekana kuhakikisha mchungaji Msigwa anakuwa nahodha wa CHADEMA baada ya mh Mbowe kustaafu kwa mafanikio makubwa.

Akadodi ndauli!
Wanamtafutia kifo mwenzao.
 
Walituaminisha kuwa CDM imekufa Mungu sio Ndugai wamekufa wao
We tafsiri yako ya chama kufa ni nini? Chama kisichokua na muwakilishi katika ngazi yoyote na wala hakiwezi kushiriki uchaguzi wowote, hicho chama ni MFU. Kilichobaki sasa ni utapeli tu kupitia biashara ya kuuza kadi kidigitali.
 
Wanachama wa CHADEMA mkoani Iringa wamependekeza mchungaji Msigwa agombee uenyekiti wa CHADEMA 2023.

Joseph Kibiki anasema CHADEMA Iringa na kanda ya Nyasa kwa ujumla watafanya kila linalowezekana kuhakikisha mchungaji Msigwa anakuwa nahodha wa CHADEMA baada ya mh Mbowe kustaafu kwa mafanikio makubwa.

Akadodi ndauli!
Ni haki yao wala hili si habari kama unavyotaka iwe Jo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kati ya hawa wanafaa kutuvusha kwa msimamo na kuto yumbishwa kirahisi
1,Tundu Lisu
2,John Mnyika
3,Heche
Mmoja wapi akipewa Kati ya hawa moyo wangu utakuwa na chadema daima
 
Ningependa sana asimame Lissu au Msigwa au Heche au Lema au Mbilinyi wa Mbeya. Hawa wako tayari kuongoza makamanda.
 
2023 hastaafu mtu wote mtaambiwa hamna vigezo,hapo ni hadithi tu huyo tapeli ni mwenyekiti wa maisha na mkwewe kule ushirombo wanagawana tu ruzuku.
 
Uenyekiti wa CHADEMA lazima utaenda kaskazini piga ua.

CHADEMA watakua radhi hata wamuombe Mollel arudi CHADEMA agombee uenyekiti na wampatie lakini sio uende kanda nyingine.

Bob Makani anatoka kaskazini.
 
We tafsiri yako ya chama kufa ni nini? Chama kisichokua na muwakilishi katika ngazi yoyote na wala hakiwezi kushiriki uchaguzi wowote, hicho chama ni MFU. Kilichobaki sasa ni utapeli tu kupitia biashara ya kuuza kadi kidigitali.
Ndiyo akili zako zilizikwa na mwenda zake?? Haukujua kuwa uchaguzi haukuwa free and fair??
 
Wanachama wa CHADEMA mkoani Iringa wamependekeza mchungaji Msigwa agombee uenyekiti wa CHADEMA 2023.

Joseph Kibiki anasema CHADEMA Iringa na kanda ya Nyasa kwa ujumla watafanya kila linalowezekana kuhakikisha mchungaji Msigwa anakuwa nahodha wa CHADEMA baada ya mh Mbowe kustaafu kwa mafanikio makubwa.

Akadodi ndauli!
Akitaka apotezwe alafu atafutwe mchawi sisiemu ya delilah basi msigwa ajaribu kufanya hivyo
 
Ndiyo akili zako zilizikwa na mwenda zake?? Haukujua kuwa uchaguzi haukuwa free and fair??
Hichi ni kisingizio cha watu walioloose focus. Mkishindwa uchaguzi mnasingizia haukua free and fair. Wakati mliweka mawakala kila sehemu. Chama chenu hakina mvuto, huo ndo ukweli.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Msigwa, Heche, Lema, Mnyika, Sugu, Boniphace Jacob na wooooote waliovumilia mateso ya MWENDAKUZIMU John Pombe wanafaa kurithi viatu vya Mbowe!
 
Back
Top Bottom