Mmeacha ya kwenu mnadandia ya jiraniWanachama wa CHADEMA mkoani Iringa wamependekeza mchungaji Msigwa agombee uenyekiti wa CHADEMA 2023.
Joseph Kibiki anasema CHADEMA Iringa na kanda ya Nyasa kwa ujumla watafanya kila linalowezekana kuhakikisha mchungaji Msigwa anakuwa nahodha wa CHADEMA baada ya mh Mbowe kustaafu kwa mafanikio makubwa.
Akadodi ndauli!
Wanamtafutia kifo mwenzao.Wanachama wa CHADEMA mkoani Iringa wamependekeza mchungaji Msigwa agombee uenyekiti wa CHADEMA 2023.
Joseph Kibiki anasema CHADEMA Iringa na kanda ya Nyasa kwa ujumla watafanya kila linalowezekana kuhakikisha mchungaji Msigwa anakuwa nahodha wa CHADEMA baada ya mh Mbowe kustaafu kwa mafanikio makubwa.
Akadodi ndauli!
We tafsiri yako ya chama kufa ni nini? Chama kisichokua na muwakilishi katika ngazi yoyote na wala hakiwezi kushiriki uchaguzi wowote, hicho chama ni MFU. Kilichobaki sasa ni utapeli tu kupitia biashara ya kuuza kadi kidigitali.Walituaminisha kuwa CDM imekufa Mungu sio Ndugai wamekufa wao
Ni haki yao wala hili si habari kama unavyotaka iwe JoWanachama wa CHADEMA mkoani Iringa wamependekeza mchungaji Msigwa agombee uenyekiti wa CHADEMA 2023.
Joseph Kibiki anasema CHADEMA Iringa na kanda ya Nyasa kwa ujumla watafanya kila linalowezekana kuhakikisha mchungaji Msigwa anakuwa nahodha wa CHADEMA baada ya mh Mbowe kustaafu kwa mafanikio makubwa.
Akadodi ndauli!
Hahahaaaa..... Bwashee hata mahabusu kuna VIP!Mkuu unaenda mpelekea sabaya uji lini? Msimtenge huyo ni mataga mwenzenu.
Ni kitu kimojaHivi Mch. Msigwa na Gerson Msigwa ni wamoja?
Mnajua Mbowe atawaoa? Hamlali kisa Mbowe, basi awaoe awaweke nyumbani kwake. Kelel za Mbowe, Mbowe, Mbowe sasa basi.
Uenyekiti wa CHADEMA lazima utaenda kaskazini piga ua.
CHADEMA watakua radhi hata wamuombe Mollel arudi CHADEMA agombee uenyekiti na wampatie lakini sio uende kanda nyingine.
Mkuu naomba nikuulize jambo hata kama Ni kupitia PMMuwaache CHADEMA wajiamulie mambo yao wenyewe?
Disqualified.Dimondi anawangalia halafu anaimba
"Wataweza kweli aaah wapi,
Kushindana nasi, aah wapi,
hata akiletwa Msigwa, haitawezekana" [emoji445][emoji445]
View attachment 1809437
Ndiyo akili zako zilizikwa na mwenda zake?? Haukujua kuwa uchaguzi haukuwa free and fair??We tafsiri yako ya chama kufa ni nini? Chama kisichokua na muwakilishi katika ngazi yoyote na wala hakiwezi kushiriki uchaguzi wowote, hicho chama ni MFU. Kilichobaki sasa ni utapeli tu kupitia biashara ya kuuza kadi kidigitali.
Mkuu hapo hilo sasa povu!Mnajua Mbowe atawaoa? Hamlali kisa Mbowe, basi awaoe awaweke nyumbani kwake. Kelel za Mbowe, Mbowe, Mbowe sasa basi.
Akitaka apotezwe alafu atafutwe mchawi sisiemu ya delilah basi msigwa ajaribu kufanya hivyoWanachama wa CHADEMA mkoani Iringa wamependekeza mchungaji Msigwa agombee uenyekiti wa CHADEMA 2023.
Joseph Kibiki anasema CHADEMA Iringa na kanda ya Nyasa kwa ujumla watafanya kila linalowezekana kuhakikisha mchungaji Msigwa anakuwa nahodha wa CHADEMA baada ya mh Mbowe kustaafu kwa mafanikio makubwa.
Akadodi ndauli!
Hichi ni kisingizio cha watu walioloose focus. Mkishindwa uchaguzi mnasingizia haukua free and fair. Wakati mliweka mawakala kila sehemu. Chama chenu hakina mvuto, huo ndo ukweli.Ndiyo akili zako zilizikwa na mwenda zake?? Haukujua kuwa uchaguzi haukuwa free and fair??