Mchungaji Msigwa apewe ukuu wa Mkoa wa Iringa ili akasimamie ajenda zake kwa wananchi

Mchungaji Msigwa apewe ukuu wa Mkoa wa Iringa ili akasimamie ajenda zake kwa wananchi

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Msigwa amewapigania wana iringa kwa uchungu mkubwa sana wa kiwango cha mama mjamzito.

Nashauri Mh. Rais amateur kuwa mkuu wa mkoa wa Iringa ili akatimilize kiu yake ya kuendeleza Mkoa wa Iringa
 
Ungetaja hiyo kiu ambayo anayo na ambayo haijatekelezwa na Rais Samia kwa Wana IRinga . Kwa sababu Nachofahamu Rais Samia Amepeleka Mabilioni kwa Mabilioni ya pesa za Maendeleo katika kila Mkoa kama ambavyo tumeshuhudia Mkoa wa Tanga ukimiminiwa Zaidi ya Trilioni 3.1 tangia 2021 mpaka sasa.

Je unahisi ni Nini ambacho hakifanikiwi katika mkoa Wa Iringa ambacho ili Kifanikiwe au kufanikiwa kwake ni Lazima Mchungaji Peter Msigwa Awe Mkuu wa Mkoa?
 
Back
Top Bottom