Ungetaja hiyo kiu ambayo anayo na ambayo haijatekelezwa na Rais Samia kwa Wana IRinga . Kwa sababu Nachofahamu Rais Samia Amepeleka Mabilioni kwa Mabilioni ya pesa za Maendeleo katika kila Mkoa kama ambavyo tumeshuhudia Mkoa wa Tanga ukimiminiwa Zaidi ya Trilioni 3.1 tangia 2021 mpaka sasa.
Je unahisi ni Nini ambacho hakifanikiwi katika mkoa Wa Iringa ambacho ili Kifanikiwe au kufanikiwa kwake ni Lazima Mchungaji Peter Msigwa Awe Mkuu wa Mkoa?