Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
huyu siyo kuwa haujui ukeli, il ili mkono uende kinywani lazima Ukisha kuwa ccm ni mwendo wa zero brain, zero thinking and most important uchawa................kusema uongo, unafiki kumpendeza Samia. Ndicho anachokifanya MsigwaWakuu
Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mchungaji Peter Msigwa amesema kuwa chama hicho (CCM) ni chama kinachoongoza kwa kutekeleza ilani barani Afrika na hilo linapelekea wananchi kukiamini chama hicho na kukichagua mara zote.
Msigwa amezungumza hayo akizungumza na wahabari Disemba 09, 2024.
View attachment 3173404
Huyu mtu amerogwa! Sio Bure!Wakuu
Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mchungaji Peter Msigwa amesema kuwa chama hicho (CCM) ni chama kinachoongoza kwa kutekeleza ilani barani Afrika na hilo linapelekea wananchi kukiamini chama hicho na kukichagua mara zote.
Msigwa amezungumza hayo akizungumza na wahabari Disemba 09, 2024.
View attachment 3173404
.huyu siyo kuwa haujui ukeli, il ili mkono uende kinywani lazima Ukisha kuwa ccm ni mwendo wa zero brain, zero thinking and most important uchawa................kusema uongo, unafiki kumpendeza Samia. Ndicho anachokifanya Msigwa
View attachment 3173472
Na kweli Msigwa sasa hatumii ubongo! anatumia tumbo kufikiri kupata mlo wake
Huyu babu ana akili timamu kweli?Wakuu
Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mchungaji Peter Msigwa amesema kuwa chama hicho (CCM) ni chama kinachoongoza kwa kutekeleza ilani barani Afrika na hilo linapelekea wananchi kukiamini chama hicho na kukichagua mara zote.
Msigwa amezungumza hayo akizungumza na wahabari Disemba 09, 2024.
View attachment 3173404
lWakuu

Msigwa anataka kutuaminisha kuwa utrkaji na mauaji ya wanaomkosoa Rais, ilikuwa ni sehemu ya ilani ya CCM?Wakuu
Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mchungaji Peter Msigwa amesema kuwa chama hicho (CCM) ni chama kinachoongoza kwa kutekeleza ilani barani Afrika na hilo linapelekea wananchi kukiamini chama hicho na kukichagua mara zote.
Msigwa amezungumza hayo akizungumza na wahabari Disemba 09, 2024.
View attachment 3173404
Wangempa hata ukatibu tarafa, unamtosha. Huenda akili ingetulia kidogo. Kwa sasa anahangaika kwa kuropoka vitu vya ajabu ili kuwakumbusha kuwa wamemsahau!! Na CCM nao wameshtuka kuwa aliwadanganya. Wamemwua Kibao RIP, lakini CHADEMA bado ipo, na wakati aliwaaminisha kuwa huyo asipokuwepo Duniani ndiyo mwisho wa CHADEMA. Msigwa anatembea na damu ya Ali Kibao RIP. Laana hiyo haitamwacha salama.Mpeni uteuzi huyo
Ova
Asipokuwa makini ataishia kuwa mpiga domo tuWangempa hata ukatibu tarafa, unamtosha. Huenda akili ingetulia kidogo. Kwa sasa anahangaika kwa kuropoka vitu vya ajabu ili kuwakumbusha kuwa wamemsahau!! Na CCM nao wameshtuka kuwa aliwadanganya. Wamemwua Kibao RIP, lakini CHADEMA bado ipo, na wakati aliwaaminisha kuwa huyo asipokuwepo Duniani ndiyo mwisho wa CHADEMA. Msigwa anatembea na damu ya Ali Kibao RIP. Laana hiyo haitamwacha salama.