LGE2024 Mchungaji Msigwa: CHADEMA inajiandaa kuendeleza upotoshaji

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
U
Upotoshaji unafanywa na chawa na bahati iliyo njema wafuga chawa ni (Ccm) chukua chako mapema.
 
Kwani huyu Mchungaji KILA siku Yeye ni CHADEMA TU...
Hana mambo mengine ya kuzungumza?? Kama amewamiss si arudi tu
Hana lolote jipya, content alikuwa anapewaa na cdm. Ccm nao wameamua kumdhalilisha kwa kumpa kazi wanayoiita ya kuibomoa cdm. Ni kama amepewa kazi ya kuwa msemaji hasi wa cdm ndani ya ccm.
 
Ccm Daima
 
Nani wa kutilia maanani Zuzu wahedi. Sisi tuko mitaani tumejiomea wagombea wa upinzani wanatangazwa washindi vituoni halafu walioshindwa wanaapishwa.
 
Wewe ni mwanaccm wa tofauti.kwenye milioni labda mtapatikana 2 tu.kuna wenzako kwasababu ya ujinga wa uvyama na upuuzi wakuonea washindani hawaoni huu ukweli uliouona wewe alafu wanajiona washindi kumbe ujinga tu..Huyo msigwa niwakuhurumia maana bado anafikiri anaule ushawishi aliokua nao uko nyuma.
 
Hana lolote jipya, content alikuwa anapewaa na cdm. Ccm nao wameamua kumdhalilisha kwa kumpa kazi wanayoiita ya kuibomoa cdm. Ni kama amepewa kazi ya kuwa msemaji hasi wa cdm ndani ya ccm.
Atajuahajui hata akikodi covid wote watanzania wanaelewa msimamo uelekeo na matamanio ya cdm na watanzania
 
Huyu lofa anaongea nini ....watu wa maana kama Jaji Warioba,Mzee Msekwa wamezungumza na wameeleweka vizuri tu..
Alafu ni adabu gani anayo huyu kihiyo a.k.a fake pastor?..
Hajui kwamba wazee wakishaongea unatakiwa kufunga bakuli?....
All in all dishi limeyumba
 
Huyu popi anahangaika sana,halafu kajidharaulisha sn
 
Uyu ni kupuuza tu ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…