Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Iringa Mjini kupitia CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa, ambaye ni Kada wa CCM kwasasa, ameweka wazi msimamo wake wa kisiasa huku akiwataka wananchi kupuuza taarifa zozote zinazosambazwa kuhusu mustakabali wake.
Kupitia ujumbe wake X (zamani Twitter), Msigwa amesema hakuna mtu yeyote aliyemteua kuwa msemaji wake wa kisiasa na kusisitiza kuwa ana uwezo wa kujieleza mwenyewe. Amewataka watu kuacha kusambaza uvumi usio na msingi kuhusu nafasi yake katika siasa.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Msigwa amesema, "Ni kijani, kijani, I’m here to stay!" akionyesha kuwa bado yupo ndani ya chama chake na hana mpango wa kuhama.