johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nimemsikiliza mchungaji Msigwa Leo pale Mwembetogwa nikashangaa ilikuwaje akawa Mwanasaikolojia na Teolojia
Peter amekaa miaka 20 Chadema lakini hajui kuwa kwa CCM Mbowe ni muhimu kuliko yeye na wale wote waliounga Juhudi
Kwa sababu Msigwa namfahamu tangu 1980s napenda kumshauri Kitu kimoja tu, Yeye ajikite kuelezea Mazuri ya CCM Chama chake kipya na mabaya ya Chadema awaachie wenyewe
Chadema imewahi kuwa kimbilio la Mawaziri Wakuu wastaafu Wawili kwa wakati mmoja hivyo kwa Mtu mwenye " akili" zinazofanya Kazi sawasawa hawezi kukichukulia poa
Mlale Unono 😀😀
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Viwanja vya Mwembetogwa Iringa mjini Mchungaji Msigwa afunguka sababu 4 za kuondoka CHADEMA