Pre GE2025 Mchungaji Msigwa hawezi kushindana na Mbowe kwa sababu kimfumo Mbowe ni daraja tofauti na yeye

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
1721531629567.jpg
 
Mtateseka Sana mwaka huu subri na Lissu awakimbie , maana tumeambiwa kumbe Mnyika nae haendi ofsn amegoma kisa kutofautiana na supreme leader.
#mbowe must GO!
 
Endelea kutumia hicho choo ndotoni utanishukuru!!
 
Usimpangie...! Chadema mbona wao wanayasema ya CCM. Kwanza una uhakika Mch. P. Msigwa amerudisha kadi ya Chadema? Kama ameirudisha amemkabidhi nani?
Labda hakuwa nayo. Na hata akiwa nayo si kanunua kwa pesa yake? Anayo ya CCM ya zamani, anayo ya TLP, anayo ya Chadema, anayo ya CCM mpya. Tajiri huyo. Hv nyumba yake na gari sijui magari havijachomwa?
 
Mtateseka Sana mwaka huu subri na Lissu awakimbie , maana tumeambiwa kumbe Mnyika nae haendi ofsn amegoma kisa kutofautiana na supreme leader.
#mbowe must GO!
Waondoke tu si wameshalamba? Halafu Mnyika no power chama kimesinzia. Halafu si ndiye aliyesaini COVID 19 wawe bungeni au? Maana mpaka leo sielewi.
 
Hakija sinzia wanaugomvi na mbowe
 
Waondoke tu si wameshalamba? Halafu Mnyika no power chama kimesinzia. Halafu si ndiye aliyesaini COVID 19 wawe bungeni au? Maana mpaka leo sielewi.
Mnyika ni Katibu aliyekidhoofisha Chadema!!!
 
Back
Top Bottom