johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kadi ni Mali binafsi ya mwanachama!!Usimpangie...! Chadema mbona wao wanayasema ya CCM. Kwanza una uhakika Mch. P. Msigwa amerudisha kadi ya Chadema? Kama ameirudisha amemkabidhi nani?
Elimu ya bure kwa Makala, Kasesela na Nchimbi. Ahsante sana Bwashe. Mshauri homeboy asiebdelee kuaibisha Mkoa wa Iringa na watu wake wote.Nimemsikiliza mchungaji Msigwa Leo pale Mwembetogwa nikashangaa ilikuwaje akawa Mwanasaikolojia na Teoloji...
Wewe na yeye akili zenu zinafanana tu ila kwa kuwa wewe ni mnafiki unajificha nyuma ya kivuli cha unafikiNimemsikiliza mchungaji Msigwa Leo pale Mwembetogwa nikashangaa ilikuwaje akawa Mwanasaikolojia na Teolojia
...
Msigwa sio mthiologia, huyu ni mwinjilisti. Alipo muwa na njaa akafunga kanisa la maturubali aka jipachika uchungaji. Msigwa form four alikaribia kupuliza moto. Yaani karibu azungushe duara.Nimemsikiliza mchungaji Msigwa Leo pale Mwembetogwa nikashangaa ilikuwaje akawa Mwanasaikolojia na Teoloji...
Wakuu achaneni na Msigwa , uzee utakuja kwa speed ya ajabu ,huyu laana itamtesa mpaka kabulini , simwombei kifo ila kufa lazima ,huyu sio mda ataikimbia IRINGA asema Bwana na Mungu wanguNimemsikiliza mchungaji Msigwa Leo pale Mwembetogwa nikashangaa ilikuwaje akawa Mwanasaikolojia na Teoloji...
Wanaorudisha kadi na zikapokelewa...siyo wanachama wa vyama?Kadi ni Mali binafsi ya mwanachama!!
Ni hiari Yako kurudisha au kutunza kumbukumbu.Wanaorudisha kadi na zikapokelewa...siyo wanachama wa vyama?
Nimemsikiliza mchungaji Msigwa Leo pale Mwembetogwa nikashangaa ilikuwaje akawa Mwanasaikolojia na Teolojia
Peter amekaa miaka 20 Chadema lakini hajui kuwa kwa CCM Mbowe ni muhimu kuliko yeye na wale wote waliounga Juhudi
Kwa sababu Msigwa namfahamu tangu 1980s napenda kumshauri Kitu kimoja tu, Yeye ajikite kuelezea Mazuri ya CCM Chama chake kipya na mabaya ya Chadema awaachie wenyewe
Chadema imewahi kuwa kimbilio la Mawaziri Wakuu wastaafu Wawili kwa wakati mmoja hivyo kwa Mtu mwenye " akili" zinazofanya Kazi sawasawa hawezi kukichukulia poa
Mlale Unono ππ
Wee jamaa hujulikani ni Timu msigwa (Timu mama abdul) au uko Chadema, unaleta hili mara lile, huna tofauti na Sigara kaliNimemsikiliza mchungaji Msigwa Leo pale Mwembetogwa nikashangaa ilikuwaje akawa Mwanasaikolojia na Teolojia
Peter amekaa miaka 20 Chadema lakini hajui kuwa kwa CCM Mbowe ni muhimu kuliko yeye na wale wote waliounga Juhudi
Kwa sababu Msigwa namfahamu tangu 1980s napenda kumshauri Kitu kimoja tu, Yeye ajikite kuelezea Mazuri ya CCM Chama chake kipya na mabaya ya Chadema awaachie wenyewe
Chadema imewahi kuwa kimbilio la Mawaziri Wakuu wastaafu Wawili kwa wakati mmoja hivyo kwa Mtu mwenye " akili" zinazofanya Kazi sawasawa hawezi kukichukulia poa
Mlale Unono ππ
Kuna wakati akili inakurudiaNimemsikiliza mchungaji Msigwa Leo pale Mwembetogwa nikashangaa ilikuwaje akawa Mwanasaikolojia na Teolojia
Peter amekaa miaka 20 Chadema lakini hajui kuwa kwa CCM Mbowe ni muhimu kuliko yeye na wale wote waliounga Juhudi
Kwa sababu Msigwa namfahamu tangu 1980s napenda kumshauri Kitu kimoja tu, Yeye ajikite kuelezea Mazuri ya CCM Chama chake kipya na mabaya ya Chadema awaachie wenyewe
Chadema imewahi kuwa kimbilio la Mawaziri Wakuu wastaafu Wawili kwa wakati mmoja hivyo kwa Mtu mwenye " akili" zinazofanya Kazi sawasawa hawezi kukichukulia poa
Mlale Unono ππ
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Viwanja vya Mwembetogwa Iringa mjini Mchungaji Msigwa afunguka sababu 4 za kuondoka CHADEMA
Anajishusha sana!!!!!!!!!! Yaani kajidharau sana---------------- thamani yake kweli imekwisha,Wakuu achaneni na Msigwa , uzee utakuja kwa speed ya ajabu ,huyu laana itamtesa mpaka kabulini , simwombei kifo ila kufa lazima ,huyu sio mda ataikimbia IRINGA asema Bwana na Mungu wangu