Wauzaji wa containers
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 615
- 1,443
Malisa GJ unamchukuliaje ?Mpaka namuonea huruma anavyojidhalilisha. Mbowe hatakiwi kumjibu huyuu ajibiwe na kina malisa.
Endelea kutumia hicho choo ndotoni utanishukuru!!Mtateseka Sana mwaka huu subri na Lissu awakimbie , maana tumeambiwa kumbe Mnyika nae haendi ofsn amegoma kisa kutofautiana na supreme leader.
#mbowe must GO!
Labda hakuwa nayo. Na hata akiwa nayo si kanunua kwa pesa yake? Anayo ya CCM ya zamani, anayo ya TLP, anayo ya Chadema, anayo ya CCM mpya. Tajiri huyo. Hv nyumba yake na gari sijui magari havijachomwa?Usimpangie...! Chadema mbona wao wanayasema ya CCM. Kwanza una uhakika Mch. P. Msigwa amerudisha kadi ya Chadema? Kama ameirudisha amemkabidhi nani?
Waondoke tu si wameshalamba? Halafu Mnyika no power chama kimesinzia. Halafu si ndiye aliyesaini COVID 19 wawe bungeni au? Maana mpaka leo sielewi.Mtateseka Sana mwaka huu subri na Lissu awakimbie , maana tumeambiwa kumbe Mnyika nae haendi ofsn amegoma kisa kutofautiana na supreme leader.
#mbowe must GO!
Hakija sinzia wanaugomvi na mboweWaondoke tu si wameshalamba? Halafu Mnyika no power chama kimesinzia. Halafu si ndiye aliyesaini COVID 19 wawe bungeni au? Maana mpaka leo sielewi.
Watanzania ni wastaarabu...! Si Rahisi kuharibu mali za Waziri ajaye!!!Tajiri huyo. Hv nyumba yake na gari sijui magari havijachomwa?
Mnyika ni Katibu aliyekidhoofisha Chadema!!!Waondoke tu si wameshalamba? Halafu Mnyika no power chama kimesinzia. Halafu si ndiye aliyesaini COVID 19 wawe bungeni au? Maana mpaka leo sielewi.
Huu kweli Mwenyekiti wa Chadema ameusitukia.Mnyika ni Katibu aliyekidhoofisha Chadema!!!