PostGE2025 Mchungaji Msigwa: Huwezi kutumia Risasi Kuonya Vijana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251

"Mimi ni mtu wa kusema haki, mimi ni mtu wa kunyoosha maelezo, mtu wa kusema ukweli. Sasa kuna vitu ambavyo naona nikiwa upande huu, ile umimi inashindwa, naanza kuwa bata wakati natakiwa niwe eagle (tai). Sasa... hii dunia tunaishi mara moja, kwa nini uishi kwa kujisuffocate?

Lakini cha pili kikubwa, hayo labda mengine yanaweza yakavumilika, lakini kikubwa hasa mauaji ya tarehe 29 October. Nilivyoona wale vijana wanauawa, wanapigwa risasi, vijana wetu... ile ilitesa sana. Na ndio maana baada ya uchaguzi sikuzungumza chochote, ilichukua muda mrefu sana.

Lakini kikubwa zaidi, siku moja nimekaa na mtoto wangu wa miaka 18, anasema 'Baba hivi na mimi ningekuwa nimeuawa kama hawa watoto, ungeendelea kusema kidumu chama cha mapinduzi?' Mimi ni kiongozi, naamini kwamba viongozi lazima tutoe majibu watu wakiuliza. Unapokuwa kiongozi, umebeba maana ya kuongoza watu, watu wana vitu ambavyo ndani ya mioyo yao vinawaumiza. Leadership lazima itu-provide majibu.

Sasa vijana hawa ni kweli wana changamoto nyingi, wanatakiwa waelekezwe, wafundishwe, waonywe... lakini hatuwezi kuwaonya kwa risasi. We cannot kill our own people. Kwa hiyo hii imenitesa, nikaona hapana. Utu na ubinadamu ambao Baba wa Taifa alitufundisha, lazima tusimamie kwenye haki.

Na kibaya zaidi, haya mambo sikuona wanasiasa wenzangu waliosimama kidete kuyakemea, ukimwondoa Jaji Sinde Warioba. Lakini wengine wanaona kama ni mambo ya kawaida tu. Binadamu hawezi kuwa kama kuku. Kumekuwa na... achilia mbali yale maovu kama utekaji, watu kupotea, sasa watu hawezi kupotea kama kuku halafu tukakaa kimya. Na mimi ni muumini wa mchungaji mmoja alikuwa anaitwa Bonhoeffer kule Ujerumani wakati wa utawala wa Hitler. Alisema kukaa kimya mbele ya uovu ni kushiriki uovu. 'Silence in the eyes of evil is evil.' Sasa lazima tuseme, hili taifa la wote. Yale mambo sikukubaliana nayo."

Pia Soma : PostGE2025 - Peter Msigwa: Mtoto wangu aliniuliza kama angeuawa Oktoba 29, ningeendelea kusema idumu CCM?
 
Amechelewa Sana Sana
Haiba Yake ImepoteA Alipofika Bei
Msigwa Kwisha Kabisa
Ndembendembe Mlalo Wa Chali, Kifo Cha Mende
Anaungana Na Professor Lipumba
 
mSigwa ungepata cheo ccm ungeyasema haya? Acha upuuzi wako!
 
Hapo ndipo hadithi ya mtume muhammad s.a.w
“Mwenye kuona uovu miongoni mwenu, na aubadilishe kwa mkono wake; asipoweza, basi kwa ulimi wake(kukemea) na asipoweza, basi kwa moyo wake(kuchukia moyonj) na hiyo ndiyo dhaifu zaidi ya imani.”

Kwamba jambo baya ulikataze kwa mkonk ama kinywa, ukikaa kimya tu umechukia moyoni huo ni udhaifu wa imani..
Viongozi wetu wa dini ya kiislam wanayajua haya ila hawawezi ongea sababu wanaangalia zaidi maslahi ya kidunia, mali na vyeo vimewapofusha...
Bora wakristo haswa RC hawacheki na kima, NYEUSI ni NYEUSI, Nyeupe ni nyeupe.
 
"Msitumie matukio ya Mo29 kama mtaji wa kisiasa" alisikika mnufaika mmoja akisema hvo katika ziara zake..Hapa CCM mnatakiwa kutumia akili kubwa kulisafisha hili..Hili litawachafua sana kama ni karata mliicheza vibaya...kwavile nanyie ni mabingwa wa kujigeuza sisi yetu macho...Yote kwa Yote, MARIDHIANO, KATIBA MPYA yenyekufumua mifumo ilipitwa na wakati ndo wakati wake sasa.
 
Viongozi wengi wa kiislam ni wanafiki kupindukia.
 
"Msitumie matukio ya Mo29 kama mtaji wa kisiasa" alisikika mnufaika mmoja akisema hvo katika ziara zake..Hapa CCM mnatakiwa kutumia akili kubwa kulisafisha hili..Hili litawachafua sana kama ni karata mliicheza vibaya...kwavile nanyie ni mabingwa wa kujigeuza sisi yetu macho...Yote kwa Yote, MARIDHIANO, KATIBA MPYA yenyekufumua mifumo ilipitwa na wakati ndo wakati wake sasa.
Unategemea mtu kama Wasira au Migiro au Samia aone umuhimu wa hicho unachosema sijui katiba. Wao wakishapotoshwa na wanausalama kuwa wata-take cover wasiwe na wasiwasi then
hawawezi kujiongeza.
Hopeless sana.
 
Msigwa yuko sawa kabisa ila hanakosa credibility la kuongelea aya mambo maana hana misimamo
 
"Msitumie matukio ya Mo29 kama mtaji wa kisiasa" alisikika mnufaika mmoja akisema hvo katika ziara zake..Hapa CCM mnatakiwa kutumia akili kubwa kulisafisha hili..Hili litawachafua sana kama ni karata mliicheza vibaya...kwavile nanyie ni mabingwa wa kujigeuza sisi yetu macho...Yote kwa Yote, MARIDHIANO, KATIBA MPYA yenyekufumua mifumo ilipitwa na wakati ndo wakati wake sasa.
Sahihi...hili suala la Mo29, CCM isipokuwa makini, itakwenda na MAJI...hili lilikuwa ni tukio kubwa sana kwa nchi yetu,hatukuwahi shuhudia hili,hatujazoea MAUAJI..ni DOA KUBWA..kitakachowaokoa ni kuwawajibisha wote waliohusika, hata kama ni namba 01,ikibidi...la sivyo mtazama nyote...time will tell
 
Viongozi wetu wa dini ya kiislam wanayajua haya ila hawawezi ongea sababu wanaangalia zaidi maslahi ya kidunia, mali na vyeo vimewapofusha...
Kasoro Sheikh Ponda, hana unafiki wa kutanguliza mbele njaa kama tai
 
"Mimi ni mtu wa kusema haki, mimi ni mtu wa kunyoosha maelezo, mtu wa kusema ukweli. Sasa kuna vitu ambavyo naona nikiwa upande huu, ile umimi inashindwa, naanza kuwa bata wakati natakiwa niwe eagle (tai). Sasa... hii dunia tunaishi mara moja, kwa nini uishi kwa kujisuffocate?

Lakini cha pili kikubwa, hayo labda mengine yanaweza yakavumilika, lakini kikubwa hasa mauaji ya tarehe 29 October. Nilivyoona wale vijana wanauawa, wanapigwa risasi, vijana wetu... ile ilitesa sana. Na ndio maana baada ya uchaguzi sikuzungumza chochote, ilichukua muda mrefu sana.

Lakini kikubwa zaidi, siku moja nimekaa na mtoto wangu wa miaka 18, anasema 'Baba hivi na mimi ningekuwa nimeuawa kama hawa watoto, ungeendelea kusema kidumu chama cha mapinduzi?' Mimi ni kiongozi, naamini kwamba viongozi lazima tutoe majibu watu wakiuliza. Unapokuwa kiongozi, umebeba maana ya kuongoza watu, watu wana vitu ambavyo ndani ya mioyo yao vinawaumiza. Leadership lazima itu-provide majibu.

Sasa vijana hawa ni kweli wana changamoto nyingi, wanatakiwa waelekezwe, wafundishwe, waonywe... lakini hatuwezi kuwaonya kwa risasi. We cannot kill our own people. Kwa hiyo hii imenitesa, nikaona hapana. Utu na ubinadamu ambao Baba wa Taifa alitufundisha, lazima tusimamie kwenye haki.

Na kibaya zaidi, haya mambo sikuona wanasiasa wenzangu waliosimama kidete kuyakemea, ukimwondoa Jaji Sinde Warioba. Lakini wengine wanaona kama ni mambo ya kawaida tu. Binadamu hawezi kuwa kama kuku. Kumekuwa na... achilia mbali yale maovu kama utekaji, watu kupotea, sasa watu hawezi kupotea kama kuku halafu tukakaa kimya. Na mimi ni muumini wa mchungaji mmoja alikuwa anaitwa Bonhoeffer kule Ujerumani wakati wa utawala wa Hitler. Alisema kukaa kimya mbele ya uovu ni kushiriki uovu. 'Silence in the eyes of evil is evil.' Sasa lazima tuseme, hili taifa la wote. Yale mambo sikukubaliana nayo."

Pia Soma : PostGE2025 - Peter Msigwa: Mtoto wangu aliniuliza kama angeuawa Oktoba 29, ningeendelea kusema idumu CCM?
Msigwa katika moja na mbili 🤣
 
Msigwa katika moja na mbili 🤣
Chadema ni kapu la kutupia matapishi...na hapo wameshamwamini ni mwanzao..siasa ni akili
..chadema ni nyumbu yaani hapo wamesahau jamaa ametoa Siri zao 100% na ccm hawana kazi nae tena ...wamempa task ili aendelee kupewa posho arudi tena alete mipango mipya..
KaZi Ni mOyO
 
changamoto ni kwamba hawana agenda,
na kwahivyo kwakua ni mazuzu wa siasa,
wana imani kubwa sana na Msigwa kwamba kawaletea agenda mpya:pedroP:

atapewa hata ujumbe wa kamati kuu, wakati ccm kaenda mikono mitupu na kaondoka mikono mitupu:pedroP:
 
Chadema ni kapu la kutupia matapishi...na hapo wameshamwamini ni mwanzao..siasa ni akili
..chadema ni nyumbu yaani hapo wamesahau jamaa ametoa Siri zao 100% na ccm hawana kazi nae tena ...wamempa task ili aendelee kupewa posho arudi tena alete mipango mipya..
KaZi Ni mOyO
Mpaka mnye mavi nguruwe nyinyi
 
Back
Top Bottom